Shaffih Dauda ashangaa George Mpole kuanzia benchi dhidi ya Yanga

Shaffih Dauda ashangaa George Mpole kuanzia benchi dhidi ya Yanga

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mchambuzi nguli kabisa wa boli kutoka Clouds FM ameshangaa kwanini mshambuliaji namba 1 wa Pamba kuanzia benchi licha ya kuanza mechi zote za awali.

Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Yapi maoni yako?
IMG_3803.jpeg
 
Kaanzia nje ili kupisha mpango kazi maalumu.
Huu uongo wako kwenye ushabiki wa mpira, unaweza kufaa sana kwenye siasa, wakati wa kuomba kura na kuuza ilani ya chama chako.
 
Unaacha kuhoji Yao kwasi kuanzia benchi, kutukuwepo kwa aucho na muda first 11, Chama, pacome,dube kua nje, unahoji George mpole



Shenzi!!!
 
Huu uongo wako kwenye ushabiki wa mpira, unaweza kufaa sana kwenye siasa, wakati wa kuomba kura na kuuza ilani ya chama chako.
Inawezekana ilikuwa ni mpango wa kocha tu wala hakukuwa na hiyo dhana.

Ila hoja inakuja kupata nguvu pale tunapoona kinachofanyika uwanjani.

Goli la Max uliliona? Ule ulikuwa ni mpira wa kumshinda kipa ashindwe kudaka?

Ulicheki penati ya Azizi Ki jinsi ilivyotafutwa?

Ushawahi kuangalia Drunken Master ya Jackie Chan?

Basi ile mipepesuko ya Jack Chan ndio tumeishuhudia jana kwenye ligi ya NBC ila round hii staring alikuwa Baleke

Aliguswa nje ya box lakini alipepesuka akayumba akayumba kulitafuta box akajitupa chini.

Mwili ukawa upo ndani ya box ila miguu bado iko nje, so kumshawishi zaidi refa ikabidi amalizie kujibiringisha ili iwe convincing ndio hapo refa kufunika tuta.
 
Ni wachezaji wangapi wa Yanga wa first eleven wameanzia benchi?
 
Back
Top Bottom