Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
We jamaa🤣🤣🤣Inawezekana ilikuwa ni mpango wa kocha tu wala hakukuwa na hiyo dhana.
Ila hoja inakuja kupata nguvu pale tunapoona kinachofanyika uwanjani.
Goli la Max uliliona? Ule ulikuwa ni mpira wa kumshinda kipa ashindwe kudaka?
Ulicheki penati ya Azizi Ki jinsi ilivyotafutwa?
Ushawahi kuangalia Drunken Master ya Jackie Chan?
Basi ile mipepesuko ya Jack Chan ndio tumeishuhudia jana kwenye ligi ya NBC ila round hii staring alikuwa Baleke
Aliguswa nje ya box lakini alipepesuka akayumba akayumba kulitafuta box akajitupa chini.
Mwili ukawa upo ndani ya box ila miguu bado iko nje, so kumshawishi zaidi refa ikabidi amalizie kujibiringisha ili iwe convincing ndio hapo refa kufunika tuta.