Shaffih Dauda ashangaa George Mpole kuanzia benchi dhidi ya Yanga

We jamaa🤣🤣🤣
 
Kiukweli, hili jambo halileti afya kwa maendeleo ya mpira wetu, hata kama ni rushwa, basi isifanywe kwa namna ya kuwa rahisi hivi kugundua.

Leo hii unaweza kuchukulia poa, kwa kuwa haileti athari kwa timu yako, ila tabia hii ikishakomaa itaanza kuwa ikiathiri kila timu iliyo kwenye ligi.

Ova
 
Hivi ana kiwango gani cha elimu ndugu Dauda? Maana hata ujenzi wake wa hoja sijawahi kuuelewa
LA 7 b.

shafii kichwani mweupe kabisa, empty kabisa, sijui how amefika clouds ana kuwa level ile. ila mweupe. elimu hana kabisa. ukimtoa clouds amna sehemu ataajilika,

sheria ya diploma ilimtoa, naona kaludi
 
Yeye hazungumzii kikosi cha Yanga, ni cha Pamba.

Ova
Nyie watu, kwahiyo Yanga haiwezi kushinda bila kutoa rushwa? Kwanini kila Yanga ikishinda huwa yanakuja maneno na chokochoko nyingi?

Ligi ya mabingwa tulikoshinda mechi zote nako tulitoa rushwa?

Juzi hapa mlishaanza kushangilia Yanga kupata ushindi mwembamba (Nawe ukiwemo b…) Ushindi huu mnono umewaumiza sana, poleni.
 
Ajabu kubwa hii.
 
huyo shaffie ni zuzu,kwani yeye ni nani,mpaka ahoji nani hachezi na nani anaenda
 
Ila ajashangaa Aucho,Muda,Pacome,Yao na Dube kuanzia benchi?
 
Kwa sasa naweza nisieleweke, kwa kuwa naweza kueleweka kuwa naisema Yanga, sio kwamba nausemea mpira wa Tanzania ili kuunusuru mpira wetu.

Lakini, kwa kuwa, JF inaweza kudumu hata baada ya kumalizika maisha yetu ya duniani, ni vema wengine tukasema tu, hata kama ni ngumu kueleweka kwa sasa.

Tulizoea kuona mazingira ya rushwa kwa waamuzi wetu tu, lakini kufikia hadi kuona mazingira ya rushwa kwa vilabu kuweka nje nyota wake wa kikosi cha ushindi ni balaa.

Tulio kwenye ushabiki wa soka kwa muda mrefu tunajua kama Serie A ilikuwa ndiyo bora Ulaya, lakini rushwa ikaiporomosha hadi ligi zingine kama La Liga na EPL zikaipiku.

Ni lazima tujenge utamaduni wa kuichukia rushwa hata kama ilitolewa na mkono wa shoto huku mkono wa kulia ukiwa haitambui kuhusu rushwa hiyo.

Ova
 
Aaahaaa
 
"Goli la Max uliliona? Ule ulikuwa ni mpira wa kumshinda kipa ashindwe kudaka?"

Vp na nyie goli lenu la kwanza na Coastal ule mpira nao wa kumshinda kipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…