Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Tukianza na mechi yenyewe ya fainali ya FA pale tabora nani alikua bora kuliko mwingine kati ya simba na Yanga? Jibu ni rahisi sana kwa wakati ule simba alikua bora sana.Akiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa Fainali ya FA dhdi ya Simba...?
Nami nimeumia ile mbaya lakini kwa sasa sitasema sana, nasubiri kuona kiwango kitakachooneshwa na Ushindi!!Hili lijamaa nalo linazeeka vibaya
Anyway kumuacha mukoko ni kosa kubwa na tutakuja kujutia hapo mwakani tukienda kimataifa
Bangala ataumia na benchi yupo zawadi
Tutatundikwa magoli vibaya mno.
Leo nimeumia Sana hii tabia ya kuacha wachezaji walioizoea Team pasipo mantiki itatukost Sana..
Wameleta winga na kuacha kiungo mawinga yanga wapo kama utitiri..!
Ila akichambua za wengine mnakenuaHakuna mchambuzi boya kama Shafii Dauda
😁😁😁Poor reasoning.
Is he a drug abuser??
Mimi pia nahisi hivyo lakini ni vyema aende huko ili acheze kuliko huku nabi alikuwa anamuweka benchiNami nimeumia ile mbaya lakini kwa sasa sitasema sana, nasubiri kuona kiwango kitakachooneshwa na Ushindi!!
Kwa mujibu wa MwanaSpoti la siku kadhaa zilizopita, sharti la Mazembe kumwachia Ushindi ilikuwa ni wao kupatiwa Mukoko...
Huyo naye kanjanja tu,kwani wachezaji hawauzwagi,?Atwambie basi na TK master aliuzwa kwa sababu gani?Akiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa Fainali ya FA dhdi ya Simba...
Wewe utakuwa hawara wa shafii seriouskwenye Uelewa wa mchezo wa mpira wa miguu hamna kama shaffih ndo maana kila timu haimpendi !!
Tatizo la huyu shaffi ni kutaka kutoa maoni kwenye kila sualaAkiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa Fainali ya FA dhdi ya Simba...
Mechi ya fainali ilikuwa tabora au kigoma?Tukianza na mechi yenyewe ya fainali ya FA pale tabora nani alikua bora kuliko mwingine kati ya simba na Yanga? Jibu ni rahisi sana kwa wakati ule simba alikua bora sana...
Fallacy of argumentation.........mjinga pekee ndiyo anaweza kumuelewaAkiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa Fainali ya FA dhdi ya Simba...
Ndugu Jiheshimu Hujafunzwa tabia na wazazi?Wewe utakuwa hawara wa shafii serious
Hivi jamaa anapiga vyombo?Shaffi ukitoka hapo pita tripple seven nikununulie bia. Maana ndio vitu unapenda.
Hakuna chambuzi hapo