Shaffih Dauda na Wachambuzi wengi wamejipatia fedha nyingi kwa utapeli wa uchambuzi

Jamaa tangia kitambo namuona kanjanja, enzi zile anakopi uchambuzi kutoka mtandao wa Goal.com na kuipost kama yeye ndio kachambua
 
Haya mambo wajanja tunamjua kabisa kuwa toka zamani wana tafsiri..page za nje...hayo yote Tisa..
Kumi ni Hamisi Kigwangala alipo copy hotuba ya Obama na kwenda kuitumia kutangaza Nia ya kugombea Urais.......tukiambiwa tuko nyuma Sana muwe mnaelewa
 
Sasa kaleta ujinga gani anakuuliza fair unaleta ujuaji?
Dogo mbona unakuwa na hasira kama mwanamke mwenye mimba changa au upo kwenye sku zako?
Mkuu siku hizi Vijana wengi wa matatizo ya akili maana anapaniki bila sababu na maneno ya hovyo hivi huyu unamuweka kwenye kundi lipi?
 
You get successful and retire
 
Mkuu siku hizi Vijana wengi wa matatizo ya akili maana anapaniki bila sababu na maneno ya hovyo hivi huyu unamuweka kwenye kundi lipi?
Dogo ni mpumbavu kama ana stress zake asiletee watu humu.
 
Katupiga ndoige na kuna wa TBC alisema Martinez ni mchezaji wa Sevilla.
 
Sasa wewe unamshambulia shafii ila wewe hujaweka fact

Shafii ni nyota wa wachambuzi mpeni heshima yake hata km mnamchukia
 
Haya mambo wajanja tunamjua kabisa kuwa toka zamani wana tafsiri..page za nje...hayo yote Tisa..
Kumi ni Hamisi Kigwangala alipo copy hotuba ya Obama na kwenda kuitumia kutangaza Nia ya kugombea Urais.......tukiambiwa tuko nyuma Sana muwe mnaelewa

Huyu Waziri wa hela na Bwana Bagaile ni makanjanja sana.
 
Tanzania hakuna wachambuzi bali mambuzi na kujua wachezaji wengi hakukufanyi kuwa mchambuzi.
 
shafih ni mara chache anaandika kwenye page zake kawapa platform vijana kuandika na kawasaidia sana wengine wametoka kwasababu yake hata kufungiwa na tff vijana wake waliandika , shaffih Kawa taasisi makosa kama hayo ni kawaida ndio maana awezi kuogopa vijana wake wanapokosea , maturity utulivu wa shaffih ni next level ndio maana kafanikiwa.
 
Sipingi kwamba hawezi kosea,Ila nahisi shafi hiyo page Kuna vijana kawaajiri

Hamna kuajiri wala nn msikubali kujazwa hapo ni vijana daywaka tu na alichosema mtoa mada kina ukweli 100% kuna issue juzi tu hapa alitoa boko lingine
 
unamjua GEORGE ambangile wa wasaf fm. au unadhani wasaf anachambua mpira diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…