Shaffih Dauda: Nani anawafelisha Simba?

Shaffih Dauda: Nani anawafelisha Simba?

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Imeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda.

Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia,
"Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio dawa"

Japo nafahamu muda mwingine usajili ni kama KAMARI, au tuseme bahati nasibu. Lakini kwa Simba hii, "This is too much".

Naelewa sio kila mchezaji anaesajiliwa anaweza ku'Perform hata kama huko alikotoka alikua amekiwasha sana.

Lakini, unapoona umefanya usajili na zaidi ya 90% ya wachezaji wako uliowasajili ndani ya msimu husika wameshindwa kuonyesha kiwango kizuri basi unatakiwa utambue ipo shida mahala.

Check hii list ya watu waliowasajili msimu huu

Nelson Okwa
Augustine Okrah
Habib Kyombo
Nassor Kapama
Mohamed Outarra
Ismail Sawadogo
Victor Akpan
Moses Phiri

Kati ya hao wachezaji wote, ni Moses Phiri pekee ambae ameonyesha anaweza kutegemewa na timu ikapata matokeo inayoyataka.

Lakini asilimia kubwa ya wachezaji waliobaki wengi wanaozea benchi, na wengine wmefurushwa kwenda kuboresha viwango vyao kwenye timu zingine kwa mkopo.

Mambo ya kusajili wachezaji wa mafungu kama unasagula sagula nguo za mtumba soko la karume madhara yake ndio haya unakua na kundi kubwa la wachezaji ambao ni

"HOPELESS"
Nani anawafelisha Simba kwenye usajili? Inauma sana, kiukweli napata mfadhaiko kwenye hili suala la Simba sc.

Ipo shida mahali.
 
Kwani huyo Shafii Dauda anatambua huu usajili anao uponda, umemgharimu mwekezaji kiasi cha Tsh. Bilioni 1.5?
 
Shafii mbobevu wa Propaganda redioni.....
Zama hizi ambazo influence ya redio imepotea, anajitahidi sana kuwa relative lakini anaishia kuchekesha.
MO kaongea kitu kama hicho jana , yeye anasema kuna sauti imemwambia, mara chungu ndio tamu.
 
Hiyo sauti itakua ilikua ikimuimboa kibao kata
 
Kwenye robo fainali ndiyo watu watamuelewa Dauda baada ya kipigo cha mbwa koko
 
Yanga hata makundi hawakufikaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani lazima Simba iwateseeee jomoneee, khaaaah
 
Shafii mbobevu wa Propaganda redioni.....
Zama hizi ambazo influence ya redio imepotea, anajitahidi sana kuwa relative lakini anaishia kuchekesha.
MO kaongea kitu kama hicho jana , yeye anasema kuna sauti imemwambia, mara chungu ndio tamu.
Zamani walikuwa wanatulisha matango poli
 
Back
Top Bottom