benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Imeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda.
Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia,
"Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio dawa"
Japo nafahamu muda mwingine usajili ni kama KAMARI, au tuseme bahati nasibu. Lakini kwa Simba hii, "This is too much".
Naelewa sio kila mchezaji anaesajiliwa anaweza ku'Perform hata kama huko alikotoka alikua amekiwasha sana.
Lakini, unapoona umefanya usajili na zaidi ya 90% ya wachezaji wako uliowasajili ndani ya msimu husika wameshindwa kuonyesha kiwango kizuri basi unatakiwa utambue ipo shida mahala.
Check hii list ya watu waliowasajili msimu huu
Nelson Okwa
Augustine Okrah
Habib Kyombo
Nassor Kapama
Mohamed Outarra
Ismail Sawadogo
Victor Akpan
Moses Phiri
Kati ya hao wachezaji wote, ni Moses Phiri pekee ambae ameonyesha anaweza kutegemewa na timu ikapata matokeo inayoyataka.
Lakini asilimia kubwa ya wachezaji waliobaki wengi wanaozea benchi, na wengine wmefurushwa kwenda kuboresha viwango vyao kwenye timu zingine kwa mkopo.
Mambo ya kusajili wachezaji wa mafungu kama unasagula sagula nguo za mtumba soko la karume madhara yake ndio haya unakua na kundi kubwa la wachezaji ambao ni
"HOPELESS"
Nani anawafelisha Simba kwenye usajili? Inauma sana, kiukweli napata mfadhaiko kwenye hili suala la Simba sc.
Ipo shida mahali.