Shaffih Dauda: Saido hawezi kuwa Mchezaji Bora

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Saidoo hawezi akawa mchezaji bora, magoli 17. kafunga Hat trick 2, goli tano Kwenye mechi moja Maana yake magoli zaidi ya 11 kafunga kwenye mechi 3, na kamfunga nani, Swali la 2!

Fiston Mayele anadeserve kuwa MVP kwa kuwa goli analofunga mechi moja moja ndiyo Wanakuwa Mabingwa.
 
Shafii Dauda ameamua KUJIAIBISHA!!! Anachokisema hakijawahi kufanyika popote duniani!! Angalia mkeka wa top scorers kwenye epl mahali ambapo wachezaji wamefungana magoli ni nani alitajwa kwanza na kwa kigezo kipi?

Mkeka wa wafungaji bora EPL wa kwanza ni Halaand magoli 36, wa pili ni Harry Kane magoli 30, ........................................................wa saba ni Martin (arsenal) magoli 15 na assist 7, wa nane ni Ollie (Aston Villa) magoli 15 na assist 6, wa tisa ni Gabriel (Arsenal) magoli 15 na assist 5, wa kumi ni Saka (arsenal) magoli 14 na assist 11, wa kumi na moja ni Aleksandar (Fulham) magoli 14 na assist 1, wa kumi na mbili ni Lodrigo (Leeds) magoli 13 na assist 1 michezo 31, wa kumi na tatu ni Harvey (Leicester city) magoli 13, assist 1, michezo 34.

Angalia nafasi ya saba, nane, na tisa wote wana magoli 15, lakini wamezidiana assist. Ila bongo watu hawashindwi kujitoa ufahamu kwa kitu kilicho wazi!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mchambuzi huyo.
 
Kila sehemu kuna kanuni tofauti ,UEFA hawana advantage ya goli la ugenini je Africa hiyo ipo ?
 
Uchambuzi kulipa fadhila ya kupelekwa Niger kwa ndege ya bure
 
Kwani anatafutwa mwenye assist nyingi au magoli mengi? Ulaya mkifungana wote mnapewa tuzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…