Shafii Dauda ameamua KUJIAIBISHA!!! Anachokisema hakijawahi kufanyika popote duniani!! Angalia mkeka wa top scorers kwenye epl mahali ambapo wachezaji wamefungana magoli ni nani alitajwa kwanza na kwa kigezo kipi?
Mkeka wa wafungaji bora EPL wa kwanza ni Halaand magoli 36, wa pili ni Harry Kane magoli 30, ........................................................wa saba ni Martin (arsenal) magoli 15 na assist 7, wa nane ni Ollie (Aston Villa) magoli 15 na assist 6, wa tisa ni Gabriel (Arsenal) magoli 15 na assist 5, wa kumi ni Saka (arsenal) magoli 14 na assist 11, wa kumi na moja ni Aleksandar (Fulham) magoli 14 na assist 1, wa kumi na mbili ni Lodrigo (Leeds) magoli 13 na assist 1 michezo 31, wa kumi na tatu ni Harvey (Leicester city) magoli 13, assist 1, michezo 34.
Angalia nafasi ya saba, nane, na tisa wote wana magoli 15, lakini wamezidiana assist. Ila bongo watu hawashindwi kujitoa ufahamu kwa kitu kilicho wazi!!