Tukisema bongo wengi ni wa mchongo tunaonekana tuna chuki binfsi
Huwa napenda sana kauli ya Rtd CAG prof Assad kuwa wengi(alisema 60%) ya watumishi wa Tanzanian ni below average (yaani uwezo mdogo)
Mimi ni mwana simba ila sjasema kwasababu kasema saidoo hastahili, ila nasema hivi kwasababu ni unprofessional kuanza kusema eti alizifunga hatrick team dhaifu
Team dhaifu ikawa premier league??
Tuchukue mfano basi league tano zile kubwa duniani
EPL
Bundasliga
LA liga
Seria A
League 1
Lini umewahi kusikia wachambuzi wa huko abroad wakidai mbape anafunga sana ila ligi yao league 1 team nyingi ni za kawaida, lini umeskia hii kauli kwa mchambuzi professional akisema hivyo??
Messi&Ronaldo hadi hapo walipofika na magoal mengi waliyokuwa nayo mengi wamezifunga team za kawaida
Messi hajawahi ifunga Bayern goal zaidi ya 4 ila keshakutana nayo inaweza fika Mara 10
Pili si lugha nzuri hata wenye hizo team wakisikia kuwa "kazifunga team za aina gani" wala hazitapendeza kwao ni kauli za dharau
Mbona Mimi si mchambuzi ila maoni yangu rahisi tu ilikuwa yanatosha kusema MVP hapewi mtu kwa kuzingatia kigezo kimoja tu cha magoli na isitoshe hajaanza msimu hivyo ana michezo michache na facts nyingine nyingi
Kwangu mimi binafsi it's unprofessional kusema team dhaifu,za aina gani
Sent from my TECNO KB7j using
JamiiForums mobile app