Shaffih Dauda: Simba imenyimwa penati

Shaffih Dauda: Simba imenyimwa penati

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.

Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
 
Walipewa kwenye mechi na APR, mbona ile ya Hamisa Ki amekwatuliwa ndani lakini haisemi!?
 
Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.

Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
 
Attachments

  • Screenshot_20240808-214011.png
    Screenshot_20240808-214011.png
    203.9 KB · Views: 1
Vipi kuhusu Rafu aliyofanyiwa aziz kii kwenye box

Vipi kuhusu goli la offside lililokataliwa ?
aziz Ki ile tunamshukuru refa ilikua goli sio offside. sema simba tuko vizuri mechi za ligi tukikutana itakua tushakua na muunganiko. yote ya yote derby za sasa mpira unachezwa sio kama zamani ilikua butubutu pira ladha hakuna
 
Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.

Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
Huyu jamaa ni mbumbumbu wa kumpuuza
 
Back
Top Bottom