Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very clear penalty.Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.
Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
Ile ni offside ....angalia marudioHajasema chochote kuhusu goli la Aziz Key 🗝️?
Cha ajabu alikua hatua chache kutoka kwenye tukiolakini mwamuzi Sasii akauchuna
Umesha sema goli la offside sasa linakuwaje goli tenaVipi kuhusu Rafu aliyofanyiwa aziz kii kwenye box
Vipi kuhusu goli la offside lililokataliwa ?
Vipi na ile rafu aliyochezewa Aziz Ki ndani ya box? Mechi ya leo ilikuwa ni ya kimbinu zaidi. Simba waliwa win Yanga dakika 20 za kwanza ni kama wachezaji wa Yanga walipoteana hawakuwa kwenye mchezo hasa eneo la ulinzi na kiungo. Ila kadri muda ulivyozidi kwenda presha kwao ikapungua na kuanza kucheza mpira wao wa siku zote japo walikuwa hawaendi kukabia juu bali walikaba golini kwao kwa kuziba njia. Kipindi cha pili Yanga walirudi kwa kucheza mpira wa ku press kwa kiasi kikubwa na ilisabanisha wachezaji wa Simba kupoteza sana mipira na kufanya makosa mengi. Pacome weka mbali na watoto huyu jamaa ni habari nyingine. Dube yupo sharp sana nadhani kutolewa kwake kumeipa unafuu hata Simba japo Mzize leo alijitahidi kusumbua ngome ya Simba. Msimu huu nimeona Yanga wakibadilisha aina ya mpira wao kwanzia mechi ya kwanza ya kirafiki.aziz Ki ile tunamshukuru refa ilikua goli sio offside. sema simba tuko vizuri mechi za ligi tukikutana itakua tushakua na muunganiko. yote ya yote derby za sasa mpira unachezwa sio kama zamani ilikua butubutu pira ladha hakuna
ni kweli na yanga wamenyimwa goliMchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.
Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
Yanga amekataliwa magoli 2 ya wazi na penati, goli la Aziz K na Pacome, pia clear penati ya Aziz K!Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.
Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
Sasa tangu lini goli la offside likakubaliwa? 😀😀😀Vipi kuhusu goli la offside lililokataliwa ?
Huo sasa ni ubwege yaani mtu asitoe maoni yake?u usimba na u yanga unawatia sana ujinga.Ndo mana alifungiwa na Tff kujihusisha na mpira