Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hapana. Ni.wacha mbwaNDo wanajiita wachambuzi
Walipewa kwenye mechi na APR, mbona ile ya Hamisa Ki amekwatuliwa ndani lakini haisemi!?Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.
Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
Mnooo refaa kajitahd kupunguza kasiiSimba sc nao wanalalamika kuonewa!! Wanatakiwa kumshukuru refa
Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.
Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
aziz Ki ile tunamshukuru refa ilikua goli sio offside. sema simba tuko vizuri mechi za ligi tukikutana itakua tushakua na muunganiko. yote ya yote derby za sasa mpira unachezwa sio kama zamani ilikua butubutu pira ladha hakunaVipi kuhusu Rafu aliyofanyiwa aziz kii kwenye box
Vipi kuhusu goli la offside lililokataliwa ?
Huyu jamaa ni mbumbumbu wa kumpuuzaMchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.
Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”