Shaffih Dauda Vs Haji Manara

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Watu wa mpira,

Haji Manara amekuwa akilialia kuhusu Shafi Dauda akiwa Simba na sasa kahamishia kilio Yanga! Mtoto wa Kariakoo anahenyeshwa na "mhaya" kama anavyopenda kumuita mwenyewe hadi anatia huruma.

Pamoja na unazi wangu kwa Simba lakini nafikiri "Mhaya" na mtoto wa Kariakoo watakuwa na issues personal ambazo ni siri yao na mpira unatumika kunyooshana tu.

Mshaurini Haji Manara abakie kuwa msemaji na si kujivika vyeo zaidi ya majukumu yake. Kama "Mhaya" kuna sheria anakiuka Yanga wana Legal Department ambayo sio idara ya Manara! Manara amkosoe Shaffih kimpira badala ya kashfa za rushwa kwa mwenzake.

Mtoto wa Kariakoo kila maji yakizidi unga anakimbilia kashfa [emoji38][emoji38], sasa born town unapanikishwa vipi na mtoto wa bara? Mbona ligi ndio kwanza imeanza mzee? Timu mnajaza Wakongo alafu mnategemea nini zaidi ya sebene [emoji2960][emoji2960]
 
Haji ana weakness sehemu anapenda sana kusema wenziwe lakini akiguswa yeye shida...hapendi kukosolewa,hapendi challenge ipo siku atakutana na kichwa kibovu atamlipua tu kama anavyofanya yeye kwa wenziwe!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kabisa, Timu ujaze Wakongo alafu utegemee nini? Hapa Bongo bendi ndio hujaza Wakongo sio mpira [emoji28][emoji28]
Hao wakongo uzi tu wameisitishia timu yenu ya Taifa Safari ya KATAVI.
 
Haji ni boya, analialia tu. Kweli yanga hakuna wachezaji Bali Kuna wahuni tu pale kuanzia viongozi wazamini mpaka wachezaji
Wachezaji wanao,fey toto,Aucho ,Diara ,Mayele ,Moloko ,mwamnyeto ,Bangala ,Dicson Job ,Djuma .

Sijui wanakwama wapi Ila wachezaji wanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…