MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Watu wa mpira,
Haji Manara amekuwa akilialia kuhusu Shafi Dauda akiwa Simba na sasa kahamishia kilio Yanga! Mtoto wa Kariakoo anahenyeshwa na "mhaya" kama anavyopenda kumuita mwenyewe hadi anatia huruma.
Pamoja na unazi wangu kwa Simba lakini nafikiri "Mhaya" na mtoto wa Kariakoo watakuwa na issues personal ambazo ni siri yao na mpira unatumika kunyooshana tu.
Mshaurini Haji Manara abakie kuwa msemaji na si kujivika vyeo zaidi ya majukumu yake. Kama "Mhaya" kuna sheria anakiuka Yanga wana Legal Department ambayo sio idara ya Manara! Manara amkosoe Shaffih kimpira badala ya kashfa za rushwa kwa mwenzake.
Mtoto wa Kariakoo kila maji yakizidi unga anakimbilia kashfa [emoji38][emoji38], sasa born town unapanikishwa vipi na mtoto wa bara? Mbona ligi ndio kwanza imeanza mzee? Timu mnajaza Wakongo alafu mnategemea nini zaidi ya sebene [emoji2960][emoji2960]