Shaffih Dauda Vs Haji Manara

Kwa kiasi kikubwa shaffih na manara wameajiri watu ili kuziongoza social network zao...hivyo kuna possibility kubwa shaffih na manara wakawa meza moja wanapata mvinyo na kuwashangaa watu wanavyonunua tu ugomvi
 
Manara akiwa Simba,Shafii alikua anapambana naye ili kujitengea pande Yanga kuwa anaweza kumdhibiti Manara.

Sasa Manara yupo Yanga,nafasi ya Afisa habari Simba iko wazi,so Shafii anapamba kuipata kwakuonesha kuwa yeye ni kiboko ya Manara.

Rejea kwa Mwijaku,kapamba mpaka amepata uhamasishaji kisa tu,kaonesha ana uwezo wa kumdhibiti Manara.

So tatizo ni uafisa habari pale Simba,na mtu hatoipata bila kuonesha uwezo wa kumdhibiti ama kupambana na Manara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shaffih naye akili hamna kitu,yy akigombana na Manara anataka ajumuishe watu wote....na tatizo lake mambo yake yasipoenda sawa atakushambulien had bas.Kwa kifup ni mchambuzi hewa au wa mchongo tu.
 
Na akizidiwa sana utasikia, "..ooh mnanisimanga kwasababu mimi Albino...!"
 
Makolo muli bwaji bhabhaa![emoji3][emoji3]
 
Hilo li dauda si linanunuliwa tu nani asiyejua na likidevu lake kama vile alisuguliwa kwenye lami akabamizia uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…