Shaffii dauda ajitoa kugombea taswa kwa kukosa vyeti.

Shaffii dauda ajitoa kugombea taswa kwa kukosa vyeti.

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,196
Reaction score
486
Mchambuzi wa michezo wa radio clouds shaffii dauda amejitoa kugombea uenyekiti wa chama cha waandishi wa habari wa michezo TASWA kwa kukosa sifa ya kuwa na vyeti vya uandishi wa habari.

MY TAKE
Namshauli Shafii Dauda aende akasome kama ameamua kuwa sehemu ya wana jamii hiyo kwa kuendelea kuwa kanjanja ni jambo limepitwa na wakati ukizingatia mara kwa mara nimemsikia akizungumzia professionalism inabidi asiwe mnafi uweledi uanze na yeye mambo ya ujanja ujanja wa kuingia kwenye mitandao na kutolala usiku kucha kuangalia mechi za ulaya hayamfanyi moja kwa moja kuwa mchambuzi makini na ndio maana anaongozwa na hisia na kujifanya anajua ata mambo ambayo yanahitaji analysis ya kitaalamu mfano mzuri ni suala la OKWI limemvua nguo kwani ka expose umbumbumbu wa hadharani.
 
well said mkuu..huyu jamaa imefikia hatua anatuletea ndoto zake anazoota usiku na kuziweka kwenye kablog kake ili watu wazijadili eti,"nmeota okwi akirudishwa simba"...cha ajabu hata haja apologize wala kurekebisha kauli na misimamo yake kuhusu sakata la okwi..aibu yake mwenyewe
 
kweli kabisa lile jamaa sura lake limekaa kimbumbumbu! linatanuka tu bichwa!then kumejaa matopez! hana ueledi wowote ndio maana nilimchana live kwenye sport extra fb page huyu kilaza!
 
Jamani watu wamesoma taaruma nyingine kama ualim,uchumi,uasibu nk,wanafanya michezo kama hobies.
 
Haiwezi kuwa kweli huyu Kijana alikuw anafanya kazi TIB au Twiga bancorp bank na alikuwa Teller sasa mkiniambia hata vyetu siwaelewi.
 
Haiwezi kuwa kweli huyu Kijana alikuw anafanya kazi TIB au Twiga bancorp bank na alikuwa Teller sasa mkiniambia hata vyetu siwaelewi.

TAARIFA; mleta mada ameweka wazi kuwa hana vyeti vya uandishi wa habari ambayo ndio sifa mama ya chama anachotaka kuongoza sio kwamba hana vyeti vya taaluma nyingine kama ubank teller.
 
Nadhani ana Advance Diploma na Postgraduate Diploma zote za IFM ingawa sijui course gani.
 
Wakuu kiukweli watangazaji wetu wengi hawana vyeti na wala hawajasomea hiyo taaluma ya uandishi wa habari, wengi utasikia wana vipaji tu vya kutangaza na kwa msaada wa urafiki na kujuana basi wapo hapo walipo, wala sio huyo Dauda peke yake, mkisema muwafukunyue mtashangaa sana.........mleta mada umemshauri vizuri jamaa, nafasi bado anayo na juzi tu nimeona nafasi za masomo za uandishi DSJ kwenye gazeti, hima Dauda na wenzako munaounga unga nendeni darasani.
 
Hi ndo tanzania zaidi uijuavyo,mpka fundi seremala mbwiga nae siku hizi ni mtangazaji bila kwenda shule
 
Nadhani ana Advance Diploma na Postgraduate Diploma zote za IFM ingawa sijui course gani.

unadhani, kudhani ndio ushuzi gani? hili ni jukwaa la fact na siyo la kupiga ramli na mtazamo feki.
 
Shaffih dauda ni binadamu kama walivyo binadamu wengine,nae anatafuta mkate wake wakila siku kama wafanyavyo wengine na kama ilivyo kua,mwanadamu nikama kilihafu,hakosi machafu.
Tumshauri kwa lugha iliyokua nzuri isiyokua na chuki wala dharau ndio binadamu tunavyoishi.
 
Back
Top Bottom