Shaffii dauda ajitoa kugombea taswa kwa kukosa vyeti.

Shaffii dauda ajitoa kugombea taswa kwa kukosa vyeti.

Nendeni Congo mkachezeshwe ndombolo ya solo...tazama vizuri kipindi chao cha sports bar ..hata siku moja Shaffii hajawahi kuongoza kipindi..yeye ni mchambuzi tu...
 
Ameishia form 2 Kibasila. Kuanzia mwaka ujao hana kazi hapo Clouds. Kwani sheria ya kuwa na at least diploma ndio inaanza rasmi.
 
kanjanja ni kanjanja tu,yaaani mpaka anajitosha kugombea alikua hajua vigezo vinavyohitajika.(2014)
 
Msimponde hivyo bhana! Mbona ni mchambuzi mzuri tu.
 
Msimponde hivyo bhana! Mbona ni mchambuzi mzuri tu.
Kwenye uchambuzi aendelee tu kwani huko hakuna anayedai vyeti. Lakini sehemu zote alizogombea uongozi (sio uchambuzi), kamati za uchaguzi zilimchuja sababu ya vyeti. Aligombea TASWA, alishagombea nafasi ya Ujumbe wa TFF mara nyingi tu, lakini amekuwa akichujwa kabla ya hatua ya kupigiwa kura. Leta cheti baba, maneno mengi ya nini?
 
well said mkuu..huyu jamaa imefikia hatua anatuletea ndoto zake anazoota usiku na kuziweka kwenye kablog kake ili watu wazijadili eti,"nmeota okwi akirudishwa simba"...cha ajabu hata haja apologize wala kurekebisha kauli na misimamo yake kuhusu sakata la okwi..aibu yake mwenyewe
Opwi yuko wapi Leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom