Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeti vya taaluma ya uandishi wa habari.Haiwezi kuwa kweli huyu Kijana alikuw anafanya kazi TIB au Twiga bancorp bank na alikuwa Teller sasa mkiniambia hata vyetu siwaelewi.
Ameishia form 2 Kibasila. Kuanzia mwaka ujao hana kazi hapo Clouds. Kwani sheria ya kuwa na at least diploma ndio inaanza rasmi.
Kwenye uchambuzi aendelee tu kwani huko hakuna anayedai vyeti. Lakini sehemu zote alizogombea uongozi (sio uchambuzi), kamati za uchaguzi zilimchuja sababu ya vyeti. Aligombea TASWA, alishagombea nafasi ya Ujumbe wa TFF mara nyingi tu, lakini amekuwa akichujwa kabla ya hatua ya kupigiwa kura. Leta cheti baba, maneno mengi ya nini?Msimponde hivyo bhana! Mbona ni mchambuzi mzuri tu.
Opwi yuko wapi Leo?well said mkuu..huyu jamaa imefikia hatua anatuletea ndoto zake anazoota usiku na kuziweka kwenye kablog kake ili watu wazijadili eti,"nmeota okwi akirudishwa simba"...cha ajabu hata haja apologize wala kurekebisha kauli na misimamo yake kuhusu sakata la okwi..aibu yake mwenyewe