MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
Mchambuzi wa michezo wa radio clouds shaffii dauda amejitoa kugombea uenyekiti wa chama cha waandishi wa habari wa michezo TASWA kwa kukosa sifa ya kuwa na vyeti vya uandishi wa habari.
MY TAKE
Namshauli Shafii Dauda aende akasome kama ameamua kuwa sehemu ya wana jamii hiyo kwa kuendelea kuwa kanjanja ni jambo limepitwa na wakati ukizingatia mara kwa mara nimemsikia akizungumzia professionalism inabidi asiwe mnafi uweledi uanze na yeye mambo ya ujanja ujanja wa kuingia kwenye mitandao na kutolala usiku kucha kuangalia mechi za ulaya hayamfanyi moja kwa moja kuwa mchambuzi makini na ndio maana anaongozwa na hisia na kujifanya anajua ata mambo ambayo yanahitaji analysis ya kitaalamu mfano mzuri ni suala la OKWI limemvua nguo kwani ka expose umbumbumbu wa hadharani.