Shafih Dauda ashinda tuzo ya mwanahabari bora Africa 2023

Shafih Dauda ashinda tuzo ya mwanahabari bora Africa 2023

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mchambuzi wa michezo kutoka HiliGame na SportsXtra za CloudsFM @shaffihdauda_ ameshinda tuzo ya Mwanahabari bora wa habari za michezo barani Afrika kwa mwaka 2023 .

Utoaji huo wa tuzo ulifanyika mwezi Disemba mwaka 2023 nchini Ghana , mapema leo asubuhi akiwa nchini Ivory Coast [emoji1081] kwenye mashindano ya AFCON Shaffih Dauda amekabidhiwa tuzo yake kutoka Management of AFRICAN FOOTBALL AWARDS

NB: kwenye AFCON tumefeli .....na kwenye tuzo tushindwe.... haiwezekani [emoji23]
1705669593543.jpg
 
Ata Simba walishawahi kupewa Tuzo ya mashabiki Bora watu wakasema ni Tuzo ya mchongo wakatukanwa sana.
Tumpongeze Shafii kama walivyo pongezwa Simba.
Hiyo tuzo imetolewa na taasisi inayotambulika? Na ubora wa shafii upo katika angles ipi?
 
Hamna kitu hapo.
Hivi Shafii ni mwanahabari au mchambuzi?
Shafii ameandika habari zipi bora au za kusisimua hapa Afrika kwenye soka?

Hata wangesema tuzo ya mchambuzi bora wa soka hapa Tz bado Shafii hatoshei. Ni tuzo ya kipropaganda sana.
 
Hapo ni Africa au sebleni kwake!!😂😂😂😂😂😂😂

Africa ipo bize na Afconi bwana usifananishe Tuzo za Africa na vitu vya kijinga
 
Mchambuzi wa michezo kutoka HiliGame na SportsXtra za CloudsFM @shaffihdauda_ ameshinda tuzo ya Mwanahabari bora wa habari za michezo barani Afrika kwa mwaka 2023 .

Utoaji huo wa tuzo ulifanyika mwezi Disemba mwaka 2023 nchini Ghana , mapema leo asubuhi akiwa nchini Ivory Coast [emoji1081] kwenye mashindano ya AFCON Shaffih Dauda amekabidhiwa tuzo yake kutoka Management of AFRICAN FOOTBALL AWARDS

NB: kwenye AFCON tumefeli .....na kwenye tuzo tushindwe.... haiwezekani [emoji23]View attachment 2876539
Washiriki wa Tuzo hiyo walitoka katika nchi gani?
 
Back
Top Bottom