Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Mchambuzi wa michezo kutoka HiliGame na SportsXtra za CloudsFM @shaffihdauda_ ameshinda tuzo ya Mwanahabari bora wa habari za michezo barani Afrika kwa mwaka 2023 .
Utoaji huo wa tuzo ulifanyika mwezi Disemba mwaka 2023 nchini Ghana , mapema leo asubuhi akiwa nchini Ivory Coast [emoji1081] kwenye mashindano ya AFCON Shaffih Dauda amekabidhiwa tuzo yake kutoka Management of AFRICAN FOOTBALL AWARDS
NB: kwenye AFCON tumefeli .....na kwenye tuzo tushindwe.... haiwezekani [emoji23]