Ata Simba walishawahi kupewa Tuzo ya mashabiki Bora watu wakasema ni Tuzo ya mchongo wakatukanwa sana.Tuzo za uchochoroni hizi
Hiyo tuzo imetolewa na taasisi inayotambulika? Na ubora wa shafii upo katika angles ipi?Ata Simba walishawahi kupewa Tuzo ya mashabiki Bora watu wakasema ni Tuzo ya mchongo wakatukanwa sana.
Tumpongeze Shafii kama walivyo pongezwa Simba.
Kwani ni uongo sio tuzo za uchochoroni?Wivu ukizidi unakuwa uchawi
Washiriki wa Tuzo hiyo walitoka katika nchi gani?Mchambuzi wa michezo kutoka HiliGame na SportsXtra za CloudsFM @shaffihdauda_ ameshinda tuzo ya Mwanahabari bora wa habari za michezo barani Afrika kwa mwaka 2023 .
Utoaji huo wa tuzo ulifanyika mwezi Disemba mwaka 2023 nchini Ghana , mapema leo asubuhi akiwa nchini Ivory Coast [emoji1081] kwenye mashindano ya AFCON Shaffih Dauda amekabidhiwa tuzo yake kutoka Management of AFRICAN FOOTBALL AWARDS
NB: kwenye AFCON tumefeli .....na kwenye tuzo tushindwe.... haiwezekani [emoji23]View attachment 2876539
Zinatolewa na taasisi gani na zinafuata vigezo vipi hivi unajua hata Mimi naweza amka kesho nikachapisha Bango na kukupa tuzo?Ni bonge la tuzo hizo mkuu