Shafih Dauda ashinda tuzo ya mwanahabari bora Africa 2023

Hiyo tuzo imetolewa na taasisi inayotambulika? Na ubora wa shafii upo katika angles ipi?
Ata kama iyo taasisisi anaitambua yeyetu ndio tayari imeshamtambulisha nasisi uku tumeitambua.
 
Zinatolewa na taasisi gani na zinafuata vigezo vipi hivi unajua hata Mimi naweza amka kesho nikachapisha Bango na kukupa tuzo?
Hyiyo haitakuwa tuzo....tuzo za soka lazima ziwe blessed na FIFA
 
Mchambuzi wa michezo kutoka HiliGame na SportsXtra za CloudsFM @shaffihdauda_ ameshinda tuzo ya Mwanahabari bora wa habari za michezo barani Afrika kwa mwaka 2023 .

Utoaji huo wa tuzo ulifanyika mwezi Disemba mwaka 2023 nchini Ghana , mapema leo asubuhi akiwa nchini Ivory Coast [emoji1081] kwenye mashindano ya AFCON Shaffih Dauda amekabidhiwa tuzo yake kutoka Management of AFRICAN FOOTBALL AWARDS

NB: kwenye AFCON tumefeli .....na kwenye tuzo tushindwe.... haiwezekani [emoji23]View attachment 2876539
Hili bumunda tapeli tu
 
Acheni utani. Yaani Shafi anamzidi hadi Mark Gleeson?
 
Back
Top Bottom