Shafii Dauda adai aliiokoa Simba dhidi ya Yanga kuchukua wachezaji

ndiyo maana nashngaaa hapa kuna watu wansema agh achana nayo maneno ya kijiweni hayo....nitashangaa sana kama wachezaji au mamaneja hawatakanusha hili anyway kama wao wanaona sawa ni poa tu tutawasubiri hiyo tarehe nane na michezo mingine tuone jinsi hicho kishika uchumba cha GSM kwa zimbwe na kapombe kinavyofanya kazi

Uisasahau alichochea pia mgogogoro wa ramadhan singano akampeleka azam fc ndiyo maana namshangaa zimbwe junior alikuwa na ulazima gani wa kumlipa Shafih dauda awe attacking dog wake mbona angesikilizwa tu na viongozi?badala yake chawa wake dauda kaitukana club hadi lipstick za Barbara matusi yote kwa ajili ya mkataba wa zimbwe ambaye keshakula advance money ya GSM

kama aliona wanamdharau angetuaga mashabiki vizuri kwamba kapata maslahi Yanga ona sasa huku kachukua hela za simba na huku ana kishika uchumba cha GSM cha pre contract yeye na kapombe kuna nini zaidi ya kuuza mechi hapo?
 
Sio kweli
Mo husein alishasaini kabla timu haijaenda kanda ya ziwa
 
Alichotakiwa kufanya ni kusema Tu Yanga wanakaribia kuwanasa wachezaji Fulani na fulani wa Simba baasi

Masuala ya CEO hafai hakupaswa kuyasema
 
Alichotakiwa kufanya ni kusema Tu Yanga wanakaribia kuwanasa wachezaji Fulani na fulani wa Simba baasi

Masuala ya CEO hafai hakupaswa kuyasema
CEO hajui chochote kuhusu soka, Yule ni msimamizi wa biashara za Juis na mafuta ya kupikia, ameletwa kwenye mpira na MO yeye kazi n kupiga picha na watu maarufu.

Swala la mikataba ya wachezaji ni swala nyeti kwa maslahi ya timu, yeye alisema ana angalia vitu vikubwa ambavyo ni Caf champion league.Maswala ya mikataba upeo wake unaona ni vitu vidogo.
 
Yanga lialia
 
acha porojo
 

Hilo sio jukumu lako wala Shafii
Ni jukumu la walio muajiri
 
Kosa la shaffih ni lipi hapo au mtu ukiwa mnazi sharti akili uiache kwa sangoma
SHAFII ni kanjanja!! Anaganga njaa tu huyo!! Hivi sasa atamtaka Mohamed Hussein amkatie pande kwa kisingizio la kusaidia kufanikisha dili la mkataba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…