Shafii Dauda anafaa kuadhibiwa kwa uchochezi

Umemsahau na Mjumbe mwingine muhimu sana MWIGULU NCHEMBA ( YANGA ) Kiongozi wa Hakikisha Yanga inashinda kwa gharama yoyote ile nchini.
⁠⁠⁠⁠TODAY⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠+255 715 555 665Ally Suru⁠⁠⁠⁠⁠

⁠⁠⁠⁠08:55⁠⁠⁠⁠⁠

⁠⁠⁠⁠08:55⁠⁠⁠⁠⁠

⁠⁠⁠⁠08:55⁠⁠⁠⁠⁠

⁠⁠⁠⁠08:55⁠⁠⁠⁠⁠

⁠⁠⁠⁠08:55⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠Haji Sunday Manara⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠[08:57, 9/30/2016] Haji Sunday Manara: ⁠⁠⁠Somoe dr Addy Meru amesomeka
⁠⁠⁠⁠08:57⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠+255 713 460 011Madame Cherie⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠[08:57, 9/30/2016] +255 713 460 011: ⁠⁠⁠MUNGU NDIYE HAKIM NA HASHINDWI JAMBO SOTE TWAMTEGEMEA YEYE
PEKEE.
TUTAWAUMBUA KWEUPEEE
SIMBA NGUVU MOJA
⁠⁠⁠⁠08:57⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠+255 754 493 342Somoebaby⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠[08:57, 9/30/2016] +255 754 493 342: ⁠⁠⁠Ndugu zangu wa HQ kwa niaba ya kamati yangu ya hamasa kwa wachezaji,_nawashukuru sana kwa kasi hii ya utoaji wa hii bonus.
Kiukweli kamati inawashukuru sana.sambamba na kumshukuru ndugu MO kwa kuweka shilingi kwa shilingi..
Sasa tunaingia ktk vita na Yanga..hii ni zaid ya vita.inahitajika nguvu kubwa kutoka pande zote hususan cc tulio na wajibu wa kutoa bonus.
Nnalowaomba kila mmoja safari hii atoe c chini ya elfu thelathini..hii ni maalum kwa mechi hii tu..lengo ni kupatikana milioni kumi kutoka kwetu kisha ndugu yetu MO akiweka kumi nyingine maana yake tutakuwa na milioni ishirini za bonus kwa ajili ya game na Yanga..
Imani ya kamati yangu kila mmoja atatoa na nasisitiza kima cha chini ni 30,000.pesa zitumwe kwa Dr.Cosmas Kapinga 0655621044 au Somoe Ng'itu 0754493342

Mim mwenyekiti wenu
Mussa A Zungu

HAMASISHA WACHEZAJI TUMFUNGE YANGA
1.Mh.Mussa Zungu 100,000
2.Alh. Hassan Hassanoo 200,000
3.Dr.Cosmas Kapinga 100,000
4.Karim Boiplus 30,000
5.Msafiri Mohamed 30,000
6.Jasper Monyo 100,000
7.Sabry Mbarak 100,000
8. Jukwaa la Wanasimba Sc100,000
9.Patrick Kahemele 100,000
10.Kivaula Luhanga 100,000
11.Crescentius Magori 200,000
12. Iddi Kajuna 50,000
13.Emanuel Mayage 100,000
14. Mohamed Nassor 200,000
15.Elvis Mayage 50,000
16.Ngurumo za Simba 300,000
17.Mh. Abdallah Bulembo 200,000
18.Mh.Raphael Chegeni 100,000
19.Kasim Dewji 205,000
20.Meddy Milanzi 200,000
21.Steve Ally 30,000
22. Mh.Adam Mgoyi 206,000
23.Vice G.E Nyange 200,000
24.Rais Evans Aveva 200,000
25.Shabani Mnyaa 60,000
26.Hamid Hamid 40,000
27. Mh. Amos Makalla 205,000
28.Alison Richard 150,000
29.Nassor Rashid 31,650
30.Amina Poyo 30,000
31.Hussein Mlinga 22,000
32.Abdul Mshangama 30,000
33. Violeth Mfuko 250,000
34.Mh.R Ndassa 100,000
35.Vivien Msilu 30,000
36.Ashraf Osman 35,000
37.Murtazary Mangungu 35,350
38.Robert Selasela 30,000
39. Rodrick Mwambene 105,000
40.Gerry Yambi 200,000
41.Mtemi Yaredi 30,000
42.Sophia Muccadam 30,000
43.Aboubakar Ndwata 50,000
44.Silla Liwa 50,000
45.Neema Mmbaga 50,000
46.Adam Mihayo 50,000
47.Ramadhani Mohammed 31,500
48.Nicky JM 100,000
49.SPS Tawi la Simba 115,000
50. Ahmed Said 31,000
51.Mbarak Alsayed 50,000
52.Saleh Ally 30,000
53.Adam Mambi 52,000
54.Musley Al Ruweh 200,000
55.Iman Kajula 100,000
56.Swedy Mkwabi 100,000
57.Makulilo Kassera 30,000
58.Haji Manara 30,000
59.Peter Shija 70,000
60. Afande C. Kenyela 70,000
61.Daudi Danda 30,000
62.Charles Hamkah 120,000
63. Mohamed Mohd 30,000
64.Abdul-Razaq Badru 32,000
65.Ally Surru 50,000
66.Omary Shaaban 50,000
67.Mh.L. Lusinde 40,000
68.Salim Abdallah 300,000
69.Chuo cha Soka 30,000
70.Siaga Mgweno 30,000
71.Faustine Kibanda 50,000
72. Jasmine Costa 30,000
73.Richard Mwalwiba 50,000
74.Anderson Msumba 55,000
75.Aziz Kifile 40,000
76.Johnson Kato 30,000
77. Clarence Mgomba(Cremo)30,000
78.Fareed Nahdi 100,000
79.Abdalah Tilata 30,000
80.Issa Masoud 30,000
81.Evodius Mtawala 50,000
82.Mathew Shayo 50,000
83.Jabir Juma 30,000
84.Lawrence Sajilo 52,000
85.Mh.W. Ngeleja 150,000
86.Jamhuri Julio 55,000
87.Fauz Al-Saedy 50,000
88.Simba Kwanza Group 300,000
89.John Busungu 100,000
90.Julius Athumani 30,000
91.Paulo Mkarangese 50,000
92.Kimda Mbwana 55,555
93.Mulamu Nghambi 102,000
94.Said Nembo 50,000
95.Beni Masika 50,000
96.At human Mriri 70,000
97.Ussi Pondeza 30,000
98.Issa Maige 40,000
99.Kabange Seifdin 30,000
100.Wallace Karia 50,000
101. Peter Mchalumbi 35,000
102. Said Said 40,000
103. Simon Mhando 32,000
104.Michael Maluwe 40,000
105.Mrisho Harambe 40,000
106.Thadeo Kaliza 100,000
107.Esmail Mohammed 50,000
108.Kundi la Simba for MO 53,000
109.Hamisi Ndwata 50,000
110. Jafari Kisaka 40,000
111.Simba Makini Group 400,000
112. Wilfred Kidao 50,000
113. Issa Batenga 200,000
114.Mathew Mtigumwe 100,000
115.Moshi Selemani 50,000
116.Tawi kubwa na maarufu(Mpira Pesa) 500,000
117.Nassor Yahya 150,000
118. Mh.Adam K. Malima 100,000
119. Aboubakar Zebo 30,000
120.Hassan Mbilili 30,000
121.Edna Steven 32,000
122.Mh.Dr.Faustine Ndugulile 100,000
123. Evarist Hagila 100,000
124.Abubaker M/K KT 305,000
125. Patrick Rweyemamu 100,000
126. Khalid James 103,000
127.David Kivembele 50,000
128.Mh.John Heche 102,000
129.Osman Mohamed 50,000
130.Mh.Joseph Haule 50,000
131.Mh.William Ole Nasha 100,000
132.Charles Mahela 30,000
133. Simba Fans 50,000
134.Dr. Addy Meru 100,000

JUMLA 11,708,055
⁠⁠⁠⁠08:57⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠+255 652 919 710Kitta⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠+255 715 555 665Ally Suru⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠Naona wenzetu wanategemea Uchawi⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠[09:02, 9/30/2016] +255 652 919 710: ⁠⁠⁠Tuendelee na mipango yetu. Hizonzinaweza kuwa mind games tu. Tusikubaki kutolewa kwenye mstari.
⁠⁠⁠⁠09:02⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠Haji Sunday Manara⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠[09:06, 9/30/2016] Haji Sunday Manara: ⁠⁠⁠Jaman kwa utamaduni wa kiafrika ulivyo..hzo imani ziacheni tu kwa wanaoamini...tufikirie mambo makubwa kuhusu timu.
Hv cc watanzania tuchukue waganga kuanzia pemba .rukwa hadi kilwa..
Kisha ije barca hapa taifa na hz timu zetu itakuaje!
Hayo tuyaache tu jamani..kila mmoja na imani yake
⁠⁠⁠⁠09:06⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠⁠⁠+255 715 555 665Ally Suru⁠⁠⁠⁠⁠
⁠⁠Mpira ni uwezo wa uwanjani na sio mambo ya Kalumanzila
⁠⁠⁠Yanga mwaka 1974 walienda Romania wakiwa wamekamilika na waganga sita wakafungwa na kombaini ya wavuvi wa Bucharest 13-0.
Zaire enzi za Mobutu ilipeleka waganga ndege nzima ya Boeing iliyojaa waganga na walozi kwenye world cup ya German 1974 wakapigwa 9 - 0 na Yugoslavia. Jiandaeni kisaikolojia watani.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kuna tatzo kwan
 
Duh,huu ndo mpira wa Tanzania watu wanachangishana mamilioni kwa ajili ya mechi moja tu. Hizi Simba na Yanga ili tupate maendeleo ya soka ni mpaka zife au zishuke daraja kwa muda mrefu ndipo tutakapoamka huu usingizi wa pono!!
Ama kweli Tanzania tumerogwa kabisa si bure!!!
 
We huoni shida hapo? kwa mtindo huu tutang'oa viti vya viwanja vyote Tanzania!
hahhh nilishangaa sana kwann mashabiki wa burnley hakutoa viti nikakumbuka dunia ya mungu vitu vya mzungu sisi ndio wa africa bwanaa
 
Umeandika mengi lakini pengine wewe pekee ndiye huwezi kuona na kujua malalamiko ya kweli dhidi ya waamuzi na yale ya visingizio kama anayotoaga Mourinho!Kutamba ni sehemu ya mpira na inanogesha utamu wa mpira kama waamuzi watakuwa fair hakuna mtu atalalamika.Simba bila kadi nyekundu kila wanapokutana na Yanga hata wakifungwa hawawezi kulalamikia waamuzi na imeshatokea.Tatizo ninyi wachambuzi wa siasa za mpira pia mnamatatizo sana kwa kudhani mnajua kila kitu mnaishia kutoa mapendekezo yasiyotekelezeka
 
Mimi tokea yanga kugomea ile nembo ya mzamini wa ligi kisa ina rangi nyekundu tokea siku ile sizisapoti timu za simba na yanga wala azam
 
Sijakuelewa vyema kwamba Julio akiacha kufundisha hapa............
Nilidhani hushughuliki tena na VPL, na kwamba hizo habari za Julio umeziona huko kwenye Ligi unayoishughulikia ambayo ndio sijui kama ni EPL au La Liga mkuu!
 
Kamati imefanya kazi nzuri.Huyo Mkude alipigwa kadi isiyo na sabaabu ya msingi.Kama captain lizama angehoji goli la Chaneta club kwenye football club.Acheni povu.mbona sisi hatulalamiki kupigwa faini ya 5ml,wakati tuliporwa ushindi na mwamzi wenu? Mpira wa bongo utakua tu pale Yanga atakaposhika nafasi ya 4 ligi kuu.
 
Sidhani Kama uko sahihi juu ya upekee wangu katika hili. Walioweka 'like' kwenye maoni yangu hayo wanathibitisha kwamba siko peke yangu. Usichonielewa ni kwamba marefa wana kosea, iwe makusudi au kibinaadam. Lakini hawakosei kwa kuipendelea au kuiuma timu moja tu. Sema mnaolalamikia makosa hayo huwa mnaumwa na timu moja tu. Chengine usichonielewa ni kwamba hata kama waamuzi wanakosea kwa makusudi, hakuna ushahidi kwamba wametumwa na TFF, la sivyo Kamati zake zisingefuta kinyemela kadi ya Mkude au kumfungia refa huyohuyo iliyemtuma. Chenye ushahidi ni kuwa TFF na Kamati zake inazibeba Simba, Yanga na Azam nje ya uwanja kwa kutoa ama kutotoa maamuzi ya kiajabu.
Kweli kutamba ni sehemu ya mpira. Kweli baadhi ya makocha wa kigeni wanatamba kabla ya mechi. Si tatizo. Tatizo ni kutamba kulikovuka mipaka. Mpenzi wa timu moja anaposema timu yake ikifungwa na ya mpinzani wake basi alaw....e, unadhani kweli atashusha suruali timu hiyo ikifungwa? Hapo ndio hutafuta visingizio ili kunusuru si kauli yake tu, bali makalio yake pia! Hivi kuvunja kiti na kul......a ni bora nini? Kwa namna hiyohiyo wako wanaonusuru dau lao walilowekeana, nyumba, mke, gari, na mengine kadhaa. Ndio maana utaona wadau wanaojinasibu ovyo kabla ya ushindi huishia na vituko baada ya kushindwa. Mourinho unayemsema keshaadhibiwa mara ngapi kwa kuwalaumu marefa? Keshafanya vituko vingapi baada ya kushindwa, kikiwamo cha kumdhalilisha mwanamama daktari wa timu alipokuwa Chelsea. Hivyo ndivyo wanaovuka mipaka kwenye majilabu wanavyotawala hali ya kushindwa (defeat management) kwao. Kwa Mourinho muhanga ni daktari wake. Kwetu muhanga ni viti uwanjani! Umenielewa?
 
Inaonekana ulisikia peke yako lakini wengine tulisikia akiongea Yanga na Simba wanaowajumbe katika kamati ya ligi na viongozi wa tff wanatoka Simba na Yanga acha chuki za kilofa
 
Mkude alimdondosha mwamuzi kwa kumpuga mtama, then mwamuzi aliposimama akamlima red card, baada ya siku tatu kamati ya 'wahuni' inakaa na kuifuta red card na kumpa kalipio mwaluzi, tena bila hata kusoma report ya mechi ile......

Duh, naona umeandika kwa hasira sana....spelling mistakes

kumpuga>>>>>>>>>>>kumpiga

kalipio>>>>>>>>>>>karipio

Mwaluzi>>>>>>>>>>>>mwamuzi
 


Uamuzi wa kuifuta redcard hiyo ulkifikiwa vipi na kamati hiyo??? Je, ilikuwa ni kwa kupiga kura au vinginevyo?? Kama ni kwa kupiga kura Wanasimba katika kamati hiyo wako tisa (9) Yanga watatu (3) na mmoja ( 1) hajulikani 'mwelekeo' wake..kwa hiyo ni wazi 'wana-Simba' watashinda kwenye kura...

Kama ni hivyo ni aibu kwa soka ya Tanzania....
 
Shafii dauda sio mchambuzi ni mchambuzi uchwara nliachaga kumsikilizaga zamani sana, azam ndo kuna wachambuzi akina Jeff Lea, Ali mayai. ile video jana nmeiona vizur kwenye kipindi cha kipyenga cha mwisho cha osman kazi wameirudia ile video zaidi ya mara kumi yule mwamuzi hajaguswa hajasukumwa na wala hajategwa, osman kazi mwenye amesema ile haikua hata yellow card sababu mwamuzi hajaguswa, na mkude alikua na haki ya kusikilizwa sababu yeye ndo captain, shafii boya sana
 
This man called shaffi is a big problem to sports development ktk nchi hii watu wema na mpira wa nchi hii ni edo,mayai,leya na salehe jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…