Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Huyu ni mtangazaji wa Clouds na mdau mkubwa wa kandanda. Source Star Tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umefurahi eehHahahhahaha anajionaga mjuaji sana, hatimae kaingia mtegoni.
Huyu ni mtangazaji wa Clouds na mdau mkubwa wa kandanda. Source Star Tv!
Mbona jamaa yuko vizuri tu victoire?Hahahhahaha anajionaga mjuaji sana, hatimae kaingia mtegoni.
MJUAJI XANA EEEH SAMAHANI DADA NAOMBA UCHUKUE FANI YAKE COZ NAONA UKO VIZR ZAIDI YAKEHahahhahaha anajionaga mjuaji sana, hatimae kaingia mtegoni.
Hehehe mkuu huamini ee?
iko online tangu jana na RFAStar tv si imefungiwa?
Barick ni wezi wenzao, wanawalinda kwa kusema wanamazungumzo! This is Tz buana viongozi wanaiba wanasema mtuombee na kujiita wazalendo wakati wananunua ndege bila kushirikisha bunge!Majambazi barick wanapeta tuu na wanendelea kuiba mpo busy na kesi za kijinga jinga tuu...