Shafii Dauda atiwa mbaroni na Takukuru Mwanza!

Shafii Dauda atiwa mbaroni na Takukuru Mwanza!

Bashite Ana hasira nao bado ila waliendaje watu kumi mwanza kupromote ndondo cup wakiwa na katibu wa drfa?
 
Majambazi barick wanapeta tuu na wanendelea kuiba mpo busy na kesi za kijinga jinga tuu...
Barick ni wezi wenzao, wanawalinda kwa kusema wanamazungumzo! This is Tz buana viongozi wanaiba wanasema mtuombee na kujiita wazalendo wakati wananunua ndege bila kushirikisha bunge!

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom