Shafii dauda (kanjanja) iposti hirizi ya kagere (kikongwe)

msela wa mbagala

Senior Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
139
Reaction score
443
Nchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa kufikiri. wamekua watu wa chuki dhidi ya yanga za wazi wazi kabisa. najua huko uliko umenuna ila posti ile hirirzi ya kagere basi
 
Makanjanja tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mechi kuisha simba wameenda kuidai kwa kamisaa,
Inawezekana hukuwepo uwanjani. Kwa tuliobahatika kuona,baada ya Mwamuzi kuichukua ile cheni, aliipeleka kwa mwamuzi wa akiba ndugu Elly Sasii nae akaipeleka kwenye benchi la timu ya Simba.
 
Nchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa kufikiri. wamekua watu wa chuki dhidi ya yanga za wazi wazi kabisa. najua huko uliko umenuna ila posti ile hirirzi ya kagere basi
Kama hujui kuwa Oscar Oscar anafanya kama comedy kwenye page yake na kujifurahisha na unachukuliaga serious pole sana
 
Back
Top Bottom