Akili 7
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 731
- 1,424
Mbona mondi ni muislam na anavaa misalaba?Wanauliza Med ni Muislamu au Mkristu, rozali si za Wakristu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mondi ni muislam na anavaa misalaba?Wanauliza Med ni Muislamu au Mkristu, rozali si za Wakristu?
Mapimbi tu hawa hawana lolote, point moja washajiita mabingwa, halafu unadhani wataongelea nini zaidi ya "comeback", na "hirizi"Mtasema yote mwaka huu chezea Simba nyie mnaingia na matokeo ya kuifunga Simba mkishindwa mara Refa,mara Hirizi mtasema yote Vyura nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wengine kinyesi sana, unawaza ushirikina ndio mana maisha yenu ya kimasikini tu, mtu kaumia bega unasema kaishiwa ngvu za giza ..Acha ujinga, hirizi ile....hukuona alivyoishiwa nguvu za Giza hadi kukaa chini baada ya kuvuliwa dawa....mama asingesimamisha mchezo alikuwa anaenda kuwa msukule...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio utachukua hatua gani sasaWacha urongo, ni HIRIZI a.k.a Tunguri, baada ya kunyanganywa nguvu zikamuishia kama Samson, Nazi ikabaki kujiangushaangusha tu kama demu
Mtapata tabu sana ...pambaneni mtoke humo shimoniHivi huyu mama kavuta ngapi kwa Moo, yaani tuko kwenye move nzuri, kibabu kinajiangusha wala hakikuwa na mpira, Cha kushangaza Mama anasimamisha mpira, aki ya Mungu kama siyo kusimamisha Mpira, walikuwa wanakufa lingine shenzi typeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kutengeneza umasikini na chuki wakati Dauda anatengeneza pesa ,na ukimuongelea mtu Mara zote uko nyuma yake na ulivyomfuatilia YouTube ,Instagram unamuongezea pesa kazana sana
Ilikuwa cheni boss..! Na Mwamuzi wa akiba aliipeleka kwenye benchi la Simba baada ya kukabidhiwa na Mwamuzi wa kati.
Umepaniki bosi! Hivi simba haijawahi kushangilia sare dhidi ya Yanga? Au ndugu we ni mgeni katika soka la Bongo! Ile sare ya 3 kwa 3 mwaka ule mikia walishangilia kama wamechukua ubingwa wa Afrika! Vumilia tu mkuu huwa inauma sanaMapimbi tu hawa hawana lolote, point moja washajiita mabingwa, halafu unadhani wataongelea nini zaidi ya "comeback", na "hirizi"
Sent using Unataka kujua ili iweje
Povuuuu ruksaMapimbi tu hawa hawana lolote, point moja washajiita mabingwa, halafu unadhani wataongelea nini zaidi ya "comeback", na "hirizi"
Sent using Unataka kujua ili iweje
Rozali tunavaaga sisi watoto wa seminar kama tulivyo amuliwa na mama bikira Maria
Ok, sasa nimeelewa.
Mkuu sijawai ona kagere akingia na cheni before, unataka kutuambia hajui sheria??amechezea nchi ngapi as a professional player wenzake mbona hizo rozali hawakua nazo ,kwenye ukweli uelezwe pale alikoseaIlikuwa cheni boss..! Na Mwamuzi wa akiba aliipeleka kwenye benchi la Simba baada ya kukabidhiwa na Mwamuzi wa kati.
Kabisa mkuu ,kwa Oscar mimi napinga labda hamfuatilii lakini jamaa anafanya kama comedy na wakati mwengine hats simba anaichokozaga.Kama hujui kuwa Oscar Oscar anafanya kama comedy kwenye page yake na kujifurahisha na unachukuliaga serious pole sana