msela wa mbagala
Senior Member
- Dec 13, 2019
- 139
- 443
Makanjanja tuuNchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa kufikiri. wamekua watu wa chuki dhidi ya yanga za wazi wazi kabisa. najua huko uliko umenuna ila posti ile hirirzi ya kagere basi
Ila tangu alipovuliwa hirizi yake ile akapotea kabisa uwanjani mpaka wakaamua kumtoa
Acha ujinga, hirizi ile....hukuona alivyoishiwa nguvu za Giza hadi kukaa chini baada ya kuvuliwa dawa....mama asingesimamisha mchezo alikuwa anaenda kuwa msukule...
Alafu Muddy Kagere ni Muislamu,, hiyo Rozali ulimvisha....!!? Muddy Mairizi kaumbuka ...
Wanauliza Med ni Muislamu au Mkristu, rozali si za Wakristu?
Inawezekana hukuwepo uwanjani. Kwa tuliobahatika kuona,baada ya Mwamuzi kuichukua ile cheni, aliipeleka kwa mwamuzi wa akiba ndugu Elly Sasii nae akaipeleka kwenye benchi la timu ya Simba.Baada ya mechi kuisha simba wameenda kuidai kwa kamisaa,
Ilikuwa cheni boss..! Na Mwamuzi wa akiba aliipeleka kwenye benchi la Simba baada ya kukabidhiwa na Mwamuzi wa kati.Wanauliza Med ni Muislamu au Mkristu, rozali si za Wakristu?
Kama hujui kuwa Oscar Oscar anafanya kama comedy kwenye page yake na kujifurahisha na unachukuliaga serious pole sanaNchi hii imejaa waandishi wa habari na watangazaji uchwara sana wakiongozwa na huyu shafii pamoja na osca osca yaani vichwani watupu kabisa, unaweza ukajiuliza hawa jamaa wanauwezo gani wa kufikiri. wamekua watu wa chuki dhidi ya yanga za wazi wazi kabisa. najua huko uliko umenuna ila posti ile hirirzi ya kagere basi