Shafii dauda (kanjanja) iposti hirizi ya kagere (kikongwe)

Endelea kutengeneza umasikini na chuki wakati Dauda anatengeneza pesa ,na ukimuongelea mtu Mara zote uko nyuma yake na ulivyomfuatilia YouTube ,Instagram unamuongezea pesa kazana sana
 
Mtasema yote mwaka huu chezea Simba nyie mnaingia na matokeo ya kuifunga Simba mkishindwa mara Refa,mara Hirizi mtasema yote Vyura nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapimbi tu hawa hawana lolote, point moja washajiita mabingwa, halafu unadhani wataongelea nini zaidi ya "comeback", na "hirizi"

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Acha ujinga, hirizi ile....hukuona alivyoishiwa nguvu za Giza hadi kukaa chini baada ya kuvuliwa dawa....mama asingesimamisha mchezo alikuwa anaenda kuwa msukule...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wengine kinyesi sana, unawaza ushirikina ndio mana maisha yenu ya kimasikini tu, mtu kaumia bega unasema kaishiwa ngvu za giza ..

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Wacha urongo, ni HIRIZI a.k.a Tunguri, baada ya kunyanganywa nguvu zikamuishia kama Samson, Nazi ikabaki kujiangushaangusha tu kama demu
Kwahio utachukua hatua gani sasa

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Hivi huyu mama kavuta ngapi kwa Moo, yaani tuko kwenye move nzuri, kibabu kinajiangusha wala hakikuwa na mpira, Cha kushangaza Mama anasimamisha mpira, aki ya Mungu kama siyo kusimamisha Mpira, walikuwa wanakufa lingine shenzi typeee
Mtapata tabu sana ...pambaneni mtoke humo shimoni
Hongereni kwa ushindi

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Endelea kutengeneza umasikini na chuki wakati Dauda anatengeneza pesa ,na ukimuongelea mtu Mara zote uko nyuma yake na ulivyomfuatilia YouTube ,Instagram unamuongezea pesa kazana sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakiamka hawana hata hela ya chai na vitafunwa

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Mapimbi tu hawa hawana lolote, point moja washajiita mabingwa, halafu unadhani wataongelea nini zaidi ya "comeback", na "hirizi"

Sent using Unataka kujua ili iweje
Umepaniki bosi! Hivi simba haijawahi kushangilia sare dhidi ya Yanga? Au ndugu we ni mgeni katika soka la Bongo! Ile sare ya 3 kwa 3 mwaka ule mikia walishangilia kama wamechukua ubingwa wa Afrika! Vumilia tu mkuu huwa inauma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia lini mwisilam akavaa Rosali
Acha kujaza watu ujinga kila mtu kaona kuwa Ni Rozali

Sent using Jamii Forums mobile app
Rozali tunavaaga sisi watoto wa seminar kama tulivyo amuliwa na mama bikira Maria

Huyo mudy kagere ni kubwa la wachawi

Nahisi alivishwa na wale wazee wa Gamboshi wa kisukuma

Wazee wa power Bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa cheni boss..! Na Mwamuzi wa akiba aliipeleka kwenye benchi la Simba baada ya kukabidhiwa na Mwamuzi wa kati.
Mkuu sijawai ona kagere akingia na cheni before, unataka kutuambia hajui sheria??amechezea nchi ngapi as a professional player wenzake mbona hizo rozali hawakua nazo ,kwenye ukweli uelezwe pale alikosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui kuwa Oscar Oscar anafanya kama comedy kwenye page yake na kujifurahisha na unachukuliaga serious pole sana
Kabisa mkuu ,kwa Oscar mimi napinga labda hamfuatilii lakini jamaa anafanya kama comedy na wakati mwengine hats simba anaichokozaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…