Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Hapana mkuu.....una SILAHA nzito ...khinzal,,,,, juvelin ....LMG ( Light machine gun) then unatumia AK 47 vitani ???
Sasa ukijimaliza kwa kuanza na silaha za msaada moto wa adui ukiwa mkali utachomokea wapi?
Kwa kifupi hatuna timu ya maana, ni usimba na uyanga ndio unaimaliza stars

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
TUUUNDE TUME KUCHUNGUZA WALIOPANGA LIST YA JANA
SIJUI NA TAKU...WANATUSAIDIAJE ANYWAY///
YANGU BADO UCHUNGUZI UNAENDELEA
NIKOPALE KWA MASAWEEE..
KWA ZAMBIAA HIII LOH
Utapotea kijana [emoji1]
 
"Tunamshukuru Rais wetu Mama Samia kwa kuwa shabiki namba moja nchini,nasi watanzania tujitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu na kumpa mama sapoti kwa anayoyafanya"......ukiona jambo limeingiliwa na hizi siasa chafu na za kijinga....lazima libume tuu,maana vitu vingine hiamuliwa na bidii,akili na utaratibu wa utekelezaji wa hilo jambo. Siasa za ccm kupitia michezo sisi mashabiki hatuzipendi.
 
Watanzania hatuna malengo ya kufika mbali... Wale akina mwamnyeto kucheza yanga akili yao imeishia pale
Sema kidogo tuendelea kujitafuta .....kama tulimpiga niger
Ambaye amemchapa Zambia
 
Kocha aliamua kuwaheshimu hao Morocco kwa kupanga kikosi cha kujilinda kwa dakika 45 za kwanza na kushambulia dakika 45 za kipindi cha pili.

Morocco ni Team bora afrika namba moja na namba 13 duniani.

Walicheza na Brazil friend match baada ya World Cup kumalizika wakawafunga 2-1, kiwango chao kipo juu sana. Kocha wetu hata angepanga kikosi cha namna gani uwezo wa kutufunga walikuwa nao.
 
yule dada alieua mwanae kaulizwa kwa nn umemuaa akajibu nilimpigia mama maisha magumu nakuja dar akasema ukija uje mwenyewe `sijaku2tuma uub
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…