Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Kwaiyo walioitwa hawakustahili?
 
Nadhani hayo maoni na maswali yamekuja baada ya dk 90 kuisha!

Fikiria kama Starts wangeshinda, unadhani wangekuwa wanasemaje baada ya dk 90?
Hakuna kushinda wala kutoshinda...!!, Huwezi uakingia kwnye mechi Kama hiyo bila key prayers Kama hao.
 
Nyie mlitegemea kuwafunga moroco

Ova
 
Angepewa gamondi wiki 2 kabla ya hii mechi angeshinda au sana sana droo.
Huyu kocha wa Stars sasahivi Ana bahatisha na sijui wamemtoa wapi , Ila Jana ameumbuka toka amekuja hajui first eleven yake .
 
Mkuu, wala usidhani kuwa kile kikosi kingeanza tungeshinda, Waarabu walisharidhika baada ya kuongoza 2-0. Hawakuwa wakitumia nguvu tena esp kuanzia dk ya 60. Pale tungesawazisha ungeona balaa lao. Tujipange tutafika.
 
Kocha amezingua kufanya majaribio ya wachezaji kwenye mechi kubwa muhimu.
 
Kocha amezingua kufanya majaribio ya wachezaji kwenye mechi kubwa muhimu.
 
Huyo Edo hana tofauti na wale jamaa wa mwisho wa reli.

Mimi naona kocha ni mjanja sana anatumia hizi mechi ambazo anajua hatufiki popote kufanya rotation ili afanye scoutong vyema,

Nani alijua kuwa bacca ni mpumbavu?
Sio Edo ni Shaffih!!
 
Mwaikenda kachimesha mechi jana
 
Shafi Ni ndumila kuwili ujuwaji mwingi snaa kila kitu anakozoa na kujifanya mtaalamu wa soko

Sasa jaribu kumpa timu asimamie Kama atashika hata nafsi ya kumi
Hii isitufanye tushindwe ku criticize ubovu
 
Watanzania wanavyopiga kelele utafikiri Wana timu inayoweza kwenda world cup, kocha amepanga timu kutokana na timu aliyocheza nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…