Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Nadhani hayo maoni na maswali yamekuja baada ya dk 90 kuisha!

Fikiria kama Starts wangeshinda, unadhani wangekuwa wanasemaje baada ya dk 90?
Hakuna kushinda wala kutoshinda...!!, Huwezi uakingia kwnye mechi Kama hiyo bila key prayers Kama hao.
 
Angepewa gamondi wiki 2 kabla ya hii mechi angeshinda au sana sana droo.
Huyu kocha wa Stars sasahivi Ana bahatisha na sijui wamemtoa wapi , Ila Jana ameumbuka toka amekuja hajui first eleven yake .
 
kuna kitu niliona japo mimi sio mchambuzi. baada msuva na mbwana samatta kuingia game ilibadilika sana wangeanza mwanzo waarabu wangeambulia droo. wakina kibu waje kumalizia


taifa stars imeshaanza kuwa ya kiccm siajabu ni nape na makamba wamepanga kikosi.
Mkuu, wala usidhani kuwa kile kikosi kingeanza tungeshinda, Waarabu walisharidhika baada ya kuongoza 2-0. Hawakuwa wakitumia nguvu tena esp kuanzia dk ya 60. Pale tungesawazisha ungeona balaa lao. Tujipange tutafika.
 
Kocha amezingua kufanya majaribio ya wachezaji kwenye mechi kubwa muhimu.
 
Kocha amezingua kufanya majaribio ya wachezaji kwenye mechi kubwa muhimu.
 
Huyo Edo hana tofauti na wale jamaa wa mwisho wa reli.

Mimi naona kocha ni mjanja sana anatumia hizi mechi ambazo anajua hatufiki popote kufanya rotation ili afanye scoutong vyema,

Nani alijua kuwa bacca ni mpumbavu?
Sio Edo ni Shaffih!!
 
Morocco wenyewe mbona wamecheza kizembe Sana. Wametupiga Mbili Tu!. Wangepiga lile pira lao la kupanda wote na kushuka wote uone kazi. Kongole Sana kwa kocha Kwa kuwapa nafasi vijana wapya waoneshe Vipaji vyao(Morris,Charles,Mwaikenda n.k). Kwa vyovyote vile Jana mimi nimeenjoy sana pira la vijana wetu!.
Mwaikenda kachimesha mechi jana
 
Shafi Ni ndumila kuwili ujuwaji mwingi snaa kila kitu anakozoa na kujifanya mtaalamu wa soko

Sasa jaribu kumpa timu asimamie Kama atashika hata nafsi ya kumi
Hii isitufanye tushindwe ku criticize ubovu
 
Watanzania wanavyopiga kelele utafikiri Wana timu inayoweza kwenda world cup, kocha amepanga timu kutokana na timu aliyocheza nao.
 
Back
Top Bottom