Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao mastaa waliwah fanya nn kipindi Cha nyuma.
 
Huyo Edo hana tofauti na wale jamaa wa mwisho wa reli.

Mimi naona kocha ni mjanja sana anatumia hizi mechi ambazo anajua hatufiki popote kufanya rotation ili afanye scoutong vyema,

Nani alijua kuwa bacca ni mpumbavu?

Shafii
 
Zuzu kazini.
 
Naipongeza Morocco kuyaadabisha maccm,japo goli zilikuwa chache ila wakija kwenu najua hamtatungusha Wazalendo wa nji hii jipigieni hadi yachakae kabisa kama choo cha magunia
 
Ni kweli kabisa team inakaba kwa nguvu sana ila wakipata mpira hata dakika moja haifiki tayari wameshapokonywa team haina utulivu ni butua butua tu kiufupi jana kocha kazingua sana yaani wachezaji wanakimbia kama wanakimbiza swala porini.
Alifanya majaribio ya wachezaji
 
Naipongeza Morocco kuyaadabisha maccm,japo goli zilikuwa chache ila wakija kwenu najua hamtatungusha Wazalendo wa nji hii jipigieni hadi yachakae kabisa kama choo cha magunia
Kuwa mzalendo mkuu......bila ccm inawezekana usingekuwa hewani humu jf
 
Wamefungwa chache sana, ilitakiwa wapigwe 6, maana hii kama ni team inayotaanishwa na ccm tu, ifungwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…