Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

Shafii Dauda: Kocha wa stars hiki kikosi alipangiwa na nani?

kuna kitu niliona japo mimi sio mchambuzi. baada msuva na mbwana samatta kuingia game ilibadilika sana wangeanza mwanzo waarabu wangeambulia droo. wakina kibu waje kumalizia

taifa stars imeshaanza kuwa ya kiccm siajabu ni nape na makamba wamepanga kikosi.
Walipoingia timu iliamua kushambulia ili walau kupata sare,mwalimu ni mtu wa kulinda zaidi
 
Mkapa .....jamhuri ....uhuru vimejengwa na serikali Kwa muongozo wa ilani ya CCM
Hivyo viwanja vimejengwa wakati nchi ni ya chama kimoja hivyo shuguri za serikali na Chama zilikuwa hazitenganishwi.
Kilichokuwa kinafanyika Bei ya vinywaji via, soda zilikuwa zinaongeza labda shilingi 2 na pesa ya ziada inaenda kwenye ujenzi.
Waliokuwa wakichangia ni wananchi wore.
 
kuna kitu niliona japo mimi sio mchambuzi. baada msuva na mbwana samatta kuingia game ilibadilika sana wangeanza mwanzo waarabu wangeambulia droo. wakina kibu waje kumalizia

taifa stars imeshaanza kuwa ya kiccm siajabu ni nape na makamba wamepanga kikosi.
Ccm ina husika nini hapo mnaacha kusema viongozi wenu kina tifua tifua
 
Tukubali tu Morocco wanatuzidi uwezo wa mpira hata wangeanza hao uliowataka wewe bado tungepigwa tu.!
Hapana siyo kweli angalia magoli yenyewe hayakuwa ya kiufundi sana yule Kawawa naye walimtolea wapi mpira unampita kwapani
 
Aache kujifanya kocha huyu Shafii.
Kocha anayemsema ndiye kaipeleka timu AFCON.
Na Jana mpira umechezwa vizuri sana.
Kufungwa ni sehemu ya mchezo.
Argentina yenyewe imechezea 2-0 Kwa Uruguay.
Kwann hatujawafunga Morocco...kama kufungwa ni sehemu ya mchezo
 
Huyo Edo hana tofauti na wale jamaa wa mwisho wa reli.

Mimi naona kocha ni mjanja sana anatumia hizi mechi ambazo anajua hatufiki popote kufanya rotation ili afanye scoutong vyema,

Nani alijua kuwa bacca ni mpumbavu?
Edo tena? Acha kukariri mkuu
 
yule dada alieua mwanae kaulizwa kwa nn umemuaa akajibu nilimpigia mama maisha magumu nakuja dar akasema ukija uje mwenyewe `sijaku2tuma uubebe mimba....akamua kuua..nani ahukumiwe.......?ntarudi huku
Inahusiana na nini hapa
 
Hivyo viwanja vimejengwa wakati nchi ni ya chama kimoja hivyo shuguri za serikali na Chama zilikuwa hazitenganishwi.
Kilichokuwa kinafanyika Bei ya vinywaji via, soda zilikuwa zinaongeza labda shilingi 2 na pesa ya ziada inaenda kwenye ujenzi.
Waliokuwa wakichangia ni wananchi wore.
Kama wangeamua wasijenge ....mngefanyaje[emoji1]
 
Morocco wenyewe mbona wamecheza kizembe Sana. Wametupiga Mbili Tu!. Wangepiga lile pira lao la kupanda wote na kushuka wote uone kazi. Kongole Sana kwa kocha Kwa kuwapa nafasi vijana wapya waoneshe Vipaji vyao(Morris,Charles,Mwaikenda n.k). Kwa vyovyote vile Jana mimi nimeenjoy sana pira la vijana wetu!.
Sehemu za kuwajaribu vijana siyo hapo aangalie timu za kujaribu
 
Mkuu, wala usidhani kuwa kile kikosi kingeanza tungeshinda, Waarabu walisharidhika baada ya kuongoza 2-0. Hawakuwa wakitumia nguvu tena esp kuanzia dk ya 60. Pale tungesawazisha ungeona balaa lao. Tujipange tutafika.
Hakuna balaa lolote tumejikaririsha kuwa hatuwawezi
 
Hata kama alipangiwa kikosi kikubwa bora timu imefungwa maana ingingeshinda tu wanasiasa wangeanza kuibuka na kusema; Haya ni mafanikio ya SISIEMU.
Ccm inahusikaje hapo anyway tufanye basi ni kikosi cha Mbowe
 
Back
Top Bottom