ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wewe ni mjinga kama jina lakojana mngeshinda utopolo wangesema timu yao.ila kwa kuwa mmefungwa mmekaa kimya
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Walipoingia timu iliamua kushambulia ili walau kupata sare,mwalimu ni mtu wa kulinda zaidikuna kitu niliona japo mimi sio mchambuzi. baada msuva na mbwana samatta kuingia game ilibadilika sana wangeanza mwanzo waarabu wangeambulia droo. wakina kibu waje kumalizia
taifa stars imeshaanza kuwa ya kiccm siajabu ni nape na makamba wamepanga kikosi.
Hivyo viwanja vimejengwa wakati nchi ni ya chama kimoja hivyo shuguri za serikali na Chama zilikuwa hazitenganishwi.Mkapa .....jamhuri ....uhuru vimejengwa na serikali Kwa muongozo wa ilani ya CCM
Tunge drawTukubali tu Morocco wanatuzidi uwezo wa mpira hata wangeanza hao uliowataka wewe bado tungepigwa tu.!
Ccm ina husika nini hapo mnaacha kusema viongozi wenu kina tifua tifuakuna kitu niliona japo mimi sio mchambuzi. baada msuva na mbwana samatta kuingia game ilibadilika sana wangeanza mwanzo waarabu wangeambulia droo. wakina kibu waje kumalizia
taifa stars imeshaanza kuwa ya kiccm siajabu ni nape na makamba wamepanga kikosi.
Hapana siyo kweli angalia magoli yenyewe hayakuwa ya kiufundi sana yule Kawawa naye walimtolea wapi mpira unampita kwapaniTukubali tu Morocco wanatuzidi uwezo wa mpira hata wangeanza hao uliowataka wewe bado tungepigwa tu.!
Ulivyo na roho ya usimba umemuona Mwamnyeto tu kosa lake lipiWatanzania hatuna malengo ya kufika mbali... Wale akina mwamnyeto kucheza yanga akili yao imeishia pale
Kwann hatujawafunga Morocco...kama kufungwa ni sehemu ya mchezoAache kujifanya kocha huyu Shafii.
Kocha anayemsema ndiye kaipeleka timu AFCON.
Na Jana mpira umechezwa vizuri sana.
Kufungwa ni sehemu ya mchezo.
Argentina yenyewe imechezea 2-0 Kwa Uruguay.
Edo tena? Acha kukariri mkuuHuyo Edo hana tofauti na wale jamaa wa mwisho wa reli.
Mimi naona kocha ni mjanja sana anatumia hizi mechi ambazo anajua hatufiki popote kufanya rotation ili afanye scoutong vyema,
Nani alijua kuwa bacca ni mpumbavu?
Inahusiana na nini hapayule dada alieua mwanae kaulizwa kwa nn umemuaa akajibu nilimpigia mama maisha magumu nakuja dar akasema ukija uje mwenyewe `sijaku2tuma uubebe mimba....akamua kuua..nani ahukumiwe.......?ntarudi huku
Kama wangeamua wasijenge ....mngefanyaje[emoji1]Hivyo viwanja vimejengwa wakati nchi ni ya chama kimoja hivyo shuguri za serikali na Chama zilikuwa hazitenganishwi.
Kilichokuwa kinafanyika Bei ya vinywaji via, soda zilikuwa zinaongeza labda shilingi 2 na pesa ya ziada inaenda kwenye ujenzi.
Waliokuwa wakichangia ni wananchi wore.
Huko sio kufungwa ni kufunga, yeye kazungumzia kufungwaKwann hatujawafunga Morocco...kama kufungwa ni sehemu ya mchezo
Sehemu za kuwajaribu vijana siyo hapo aangalie timu za kujaribuMorocco wenyewe mbona wamecheza kizembe Sana. Wametupiga Mbili Tu!. Wangepiga lile pira lao la kupanda wote na kushuka wote uone kazi. Kongole Sana kwa kocha Kwa kuwapa nafasi vijana wapya waoneshe Vipaji vyao(Morris,Charles,Mwaikenda n.k). Kwa vyovyote vile Jana mimi nimeenjoy sana pira la vijana wetu!.
Hakuna balaa lolote tumejikaririsha kuwa hatuwaweziMkuu, wala usidhani kuwa kile kikosi kingeanza tungeshinda, Waarabu walisharidhika baada ya kuongoza 2-0. Hawakuwa wakitumia nguvu tena esp kuanzia dk ya 60. Pale tungesawazisha ungeona balaa lao. Tujipange tutafika.
Ccm inahusikaje hapo anyway tufanye basi ni kikosi cha MboweHata kama alipangiwa kikosi kikubwa bora timu imefungwa maana ingingeshinda tu wanasiasa wangeanza kuibuka na kusema; Haya ni mafanikio ya SISIEMU.
Kwa hiyo ilikuwa tunabahatisha tukishinda itakuwa vizuri tukifungwa basiSawa ila je kafanikiwa au laa?