OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naungana na weweMchambuzi ni Mwalimu kashasha na Dr Leakey hawa wengne wapiga kelele tu.
Sipendi matumizi ya hayo maneno,hata ofisini nikisikia mtu anasema "still bado" natamani kumtapikaananiboaga anasemaga 'still bado'
Naungana na wewe ata Haji Manara kipindi anachambua mpira hua ni mchambuzi mzuri namkumbuka miaka ya nyuma aliifanya hii kazi.Mchambuzi ni Mwalimu kashasha na Dr Leakey hawa wengne wapiga kelele tu.
Sasa kumbe mtu humfahamu ki-hivyo bado unaponda. Shida sana. Nakushauri acha kumfuatilia kwenye platform yake yyt ile, utakuwa salama otherwise atakuumiza sana roho.View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Wabongo bwana yan mtu akiongea ukweli ni adui na atengwe na jamii lakini akisema uongo cjuhi hapo ndo watu wamsifu? Kwani Ajibu na Niyonzima huwajuhi ni kweli Ajibu hana magoli hayo yaliyotajwa? Au ya Niyonzima yapo yametunzwa na FIFA mtaenda kuyadahi kama madai ya msimu uliopita?.View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Kumbe bi dada Na wewe umoananiboaga anasemaga 'still bado'
Mkuu hizo takwimu katoa za uongo?View attachment 612099