Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
FB_IMG_1508351874305.jpg

Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene

Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
 
View attachment 612099

Sasa kumbe mtu humfahamu ki-hivyo bado unaponda. Shida sana. Nakushauri acha kumfuatilia kwenye platform yake yyt ile, utakuwa salama otherwise atakuumiza sana roho.
 
View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene

Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Wabongo bwana yan mtu akiongea ukweli ni adui na atengwe na jamii lakini akisema uongo cjuhi hapo ndo watu wamsifu? Kwani Ajibu na Niyonzima huwajuhi ni kweli Ajibu hana magoli hayo yaliyotajwa? Au ya Niyonzima yapo yametunzwa na FIFA mtaenda kuyadahi kama madai ya msimu uliopita?.
 
Back
Top Bottom