Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Acha uongo PCM akasomea Marketing ? unless useme alikula mwerleka kitu cha six,.. unajua kujua kucheza mpira wa mchangani sio ndio kuujua mpira wa sasa, wale ni RIZIKI tu ktk tafuta tafuta mipango ya mwenyeezi Mungu S.A.W ndipo walipoandikwa riziki yao hapo lkn ndio hivyo tena mapenzi kwa wana jangwani yamemuelemea msimu huu badala ya kuichangia club yake pale mtaa wa twiga yy kazi yake kuikebei timu inayoshiriki ligi ya mabingwaaa yaan wawakilishi pekee afrika mashariki nzimaaa

Mwenyeezi mungu (s.w)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ananiboaga. [emoji735]
Ananiboa. [emoji736]

Anasemaga [emoji735]
Anasema. [emoji736]

Shule ulienda kusomea ujinga ???
Hicho ni kiswahili cha DAR....SIO CHA kuandika darasani,,,,ANASEMAGA..... She/he always says,,,ANANIBOAGA ,,,always bores me,,,mbona na nyie wa mikoani MNA KISWAHILI CHENU?(.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo PCM akasomea Marketing ? unless useme alikula mwerleka kitu cha six,.. unajua kujua kucheza mpira wa mchangani sio ndio kuujua mpira wa sasa, wale ni RIZIKI tu ktk tafuta tafuta mipango ya mwenyeezi Mungu S.A.W ndipo walipoandikwa riziki yao hapo lkn ndio hivyo tena mapenzi kwa wana jangwani yamemuelemea msimu huu badala ya kuichangia club yake pale mtaa wa twiga yy kazi yake kuikebei timu inayoshiriki ligi ya mabingwaaa yaan wawakilishi pekee afrika mashariki nzimaaa
Acha kukariri kuna Wahasibu kibao na wana CPA wamesoma PCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kauli zake anazopenda kusema
"UMENIELEWA"
Hawezi sema sentensi ya uchambuzi bila hili neno.
 
Back
Top Bottom