msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 379
.....sasa Kashasha nae Mchambuzi????? Au msheheleshaji??????Wachambuzi hapa bongo ni Mwl kashasha na yule Dr tuu
Yeah tatizo kubwa la Shafii hataki kujifunza eti kwa sababu amecheza mpira ndiyo anajua kila kitu ila akikubali kujielimisha atakuwa mchambuzi bora.
Acha uongo PCM akasomea Marketing ? unless useme alikula mwerleka kitu cha six,.. unajua kujua kucheza mpira wa mchangani sio ndio kuujua mpira wa sasa, wale ni RIZIKI tu ktk tafuta tafuta mipango ya mwenyeezi Mungu S.A.W ndipo walipoandikwa riziki yao hapo lkn ndio hivyo tena mapenzi kwa wana jangwani yamemuelemea msimu huu badala ya kuichangia club yake pale mtaa wa twiga yy kazi yake kuikebei timu inayoshiriki ligi ya mabingwaaa yaan wawakilishi pekee afrika mashariki nzimaaa
Hicho ni kiswahili cha DAR....SIO CHA kuandika darasani,,,,ANASEMAGA..... She/he always says,,,ANANIBOAGA ,,,always bores me,,,mbona na nyie wa mikoani MNA KISWAHILI CHENU?(.?Ananiboaga. [emoji735]
Ananiboa. [emoji736]
Anasemaga [emoji735]
Anasema. [emoji736]
Shule ulienda kusomea ujinga ???
Acha kukariri kuna Wahasibu kibao na wana CPA wamesoma PCMAcha uongo PCM akasomea Marketing ? unless useme alikula mwerleka kitu cha six,.. unajua kujua kucheza mpira wa mchangani sio ndio kuujua mpira wa sasa, wale ni RIZIKI tu ktk tafuta tafuta mipango ya mwenyeezi Mungu S.A.W ndipo walipoandikwa riziki yao hapo lkn ndio hivyo tena mapenzi kwa wana jangwani yamemuelemea msimu huu badala ya kuichangia club yake pale mtaa wa twiga yy kazi yake kuikebei timu inayoshiriki ligi ya mabingwaaa yaan wawakilishi pekee afrika mashariki nzimaaa
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Na kauli zake anazopenda kusema
"UMENIELEWA"
Hawezi sema sentensi ya uchambuzi bila hili neno.
Bad news blog bado haijafa.Jamaa anajiona anajua kila kiiitu ndio shida yake. Me simpendi kabisa nilishaacha kusoma blogu yake.
Nakumbuka enzi hizo tunasoma tution Magomeni Mapipa Kwa Mwl Mako alikuwa anatuambia ukisoma PCM unaweza kusoma kozi zote ispokuwa Sheria tu
Hata Sheria wapo waliokomaa nayoNakumbuka enzi hizo tunasoma tution Magomeni Mapipa Kwa Mwl Mako alikuwa anatuambia ukisoma PCM unaweza kusoma kozi zote ispokuwa Sheria tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sheria unasomaNakumbuka enzi hizo tunasoma tution Magomeni Mapipa Kwa Mwl Mako alikuwa anatuambia ukisoma PCM unaweza kusoma kozi zote ispokuwa Sheria tu
Sent using Jamii Forums mobile app