Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Umeneena vema sanasimba mnapenda kusifiwa sana mwaka huu kila mtu mtamnunia kisa kusema ukweli ndio maana yanga wamenyamaza awapigi kelele wanacheza mpira mahesabu yao ni ubingwa bila kelele simba mahesabu na mikelele kibao ndio maana mkishindwa mnatafuta mchawi kila kona ya nchi
View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.[/QU
utakuwa simba wewe
'ananiboaga' nayo ni lugha kengeufu kama 'still bado'ananiboaga anasemaga 'still bado'
Acha utotoLigi ndogo acha ligi ndogo
Chuki binafsi unazo tu hapo..punguza jazba mkuuAcha utoto
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Sipendi matumizi ya hayo maneno,hata ofisini nikisikia mtu anasema "still bado" natamani kumtapika
jamaa anautafuta kwa nguvu mnoVip Hassan Ngoma nae anasubir uteuz au
na matumizi ya neno "consistency" hata isipohitajikaananiboaga anasemaga 'still bado'
Weka sababu za kutokumkubaliView attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
na matumizi ya neno "consistency" hata isipohitajika
Hawa ndio watamsifia Niyo?Mwalimu kashasha na george ambangile wa magic fm.
Hivi ndio vichwa vyangu.
Kumbe bi dada Na wewe umo
AhahahaahMwalimu Kashasha msimfananishe na vitu vya kipumbavu.....√√√