Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Unaweza ukawa na chuki binafsi ila nachoweza kuongezea ni kwamba data anazo na hasa dunia hii ya utandawazi taarifa nje nje.
Ila upangiliaji na utangazaji wake vyawezakuwa vinachangia kutokuwa na ushawishi mkubwa kwa wadau wa soka hapa Tanzania. From the day naanza kumsikiliza/kumtazama nikasema kimoyo moyo kwamba "huyu utangazaji hawezi labda ajaribu kuwa columnist au hata feature writer", and I still firmly believe that...
 
simba mnapenda kusifiwa sana mwaka huu kila mtu mtamnunia kisa kusema ukweli ndio maana yanga wamenyamaza awapigi kelele wanacheza mpira mahesabu yao ni ubingwa bila kelele simba mahesabu na mikelele kibao ndio maana mkishindwa mnatafuta mchawi kila kona ya nchi
Umeneena vema sana
 
Dr Leakey, Osca Osca, Mussa Mwakisu na Kumwembe,,..Ova hawa ndio wachambuzi wangu
 
Hakuna mchambuzi hapo uchambuzi gani wa kutaja idadi ya mechi na idadi ya magoli tena kwa msaada wa Google.
 
Back
Top Bottom