Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Mimi alinishinda juu ya uchambuzi wake katika page yake ya Instagram. Yani yeye huweka picha then maelezo yanayofata ni historia tu ya mchezaji au timu aliyoiweka katika picha. Utasoma "...huu ni chezo wa... La pruga kafunga goli la 9000, ...mechi sita kati ya kumi .." na kadhalika!...yani utadhania mwalimu wa historia. Huo si uchambuzi bali kukumbushia historia tu8.
 
Umeona eeh badala ya kuchambua anahadithia. Amsikilize Kashasha raha kumsikiliza,hana unazi. Hata katika mechi ya Simba na Mtibwa aliwalinganisha Niyo na Ajib,kitalaam kabisa
 
Hii thread isingekuwa na hio piha hapo juu povu tusingeliona hata kidogo acheni ushabiki wa kijinga hapa kama niyozima ni kiungo mshambuliaji kwa nn asiwe hata na assist tena kwenye mfumo wa 4-3-3 shaffih hana tatizo ila wambeya wanabweka



Endeleeni na povu[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Umeona eeh badala ya kuchambua anahadithia. Amsikilize Kashasha raha kumsikiliza,hana unazi. Hata katika mechi ya Simba na Mtibwa aliwalinganisha Niyo na Ajib,kitalaam kabisa
Huo unazi wa shaffih ww umeuonaje na ww je hauko timu pinzani na shaffih dauda

Jamaaa anajua ila sema akipiga penyewe povu juu

Ety unataka insta apost uchambuzi tyu kwani page yako ile yy anachambua kukiwa na game kwan kwenye page za akina Neville kila muda kuna uchambuzi
 
kIL
 
Mchambuzi ni yule anayesifu timu yako hata ikifanya mafyongo.
Au yule anayepinga mpinzani wako
 
Mshikaji hajui hajui yaan hajui....bora tumchane wazi....bora kina Jeff layer, Alex lwambano....ila huyu mshikaji kuchambua Mpira hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…