Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh badala ya kuchambua anahadithia. Amsikilize Kashasha raha kumsikiliza,hana unazi. Hata katika mechi ya Simba na Mtibwa aliwalinganisha Niyo na Ajib,kitalaam kabisaMimi alinishinda juu ya uchambuzi wake katika page yake ya Instagram. Yani yeye huweka picha then maelezo yanayofata ni historia tu ya mchezaji au timu aliyoiweka katika picha. Utasoma "...huu ni chezo wa... La pruga kafunga goli la 9000, ...mechi sita kati ya kumi .." na kadhalika!...yani utadhania mwalimu wa historia. Huo si uchambuzi bali kukumbushia historia tu8.
Huo unazi wa shaffih ww umeuonaje na ww je hauko timu pinzani na shaffih daudaUmeona eeh badala ya kuchambua anahadithia. Amsikilize Kashasha raha kumsikiliza,hana unazi. Hata katika mechi ya Simba na Mtibwa aliwalinganisha Niyo na Ajib,kitalaam kabisa
Alex Lwambanonampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
Alex Lwambanonampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
Alex Lwambanonampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
nampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.[/QUOTE
Kila mtu ana haki ya kuwa na mawazo yake ila kwangu mimi, huyu kijana ni mmoja kati ya vijana wachache mahiri kwenye uchambuzi soka nchini.
Huyu ni Mbumbumbu fc mwenzo, wameshamchenjia.Dah mikia siku hizi mnachukia kila mtu hata mkia mwenzenu mnamanga
Na hii "Still bado" kwani ndio nini!!!?ananiboaga anasemaga 'still bado'
Ilitakiwa amulinganishe okwi na AjibChuki binafsi unazo tu hapo..punguza jazba mkuu