Na hii "Still bado" kwani ndio nini!!!?
Alex Luambano.
It's not a matter of how you think, ni kosa kimatamshi na hata kiuandishi...
Huwa hakuna kiambishi cha "...ga" mwishoni mwa neno
We si unamme wewe??nampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
Anaitwa Alex Luambanonampenda yule mwenzake mweusiii jaman ana sauti traam huwa sibanduki !nadhan yulke ndo anaujua mpira !namsahau jina !jaman kuna wanaume aisee !khaaaa
We si unamme wewe??
Ha ha ha ha ha nahisi unasema vice versadah !mkewe sijui anajua ana mume mzuri?
Ha ha ha ha ha nahisi unasema vice versa
Aisee hongera,nenda clouds media utampata tuduh !huwez nielewa !kabisa huwez nielewa kila mtu anapenda mtu wa aina yake ! mie nampendaga kiukweli
Aisee hongera,nenda clouds media utampata tu
Aisee hongera,nenda clouds media utampata tu
Ha ha ha ha mkuu ni utani tuMkuu naona umemkomalia dada wa watu, hivi mara ngapi tunasema dada fulani ni mzuri, mf watangazaji, wanamichezo nk ambao hata huna mpango wa kukutana naye?
Au kipi unaona cha ajabu hapo!
Mkuu naona umemkomalia dada wa watu, hivi mara ngapi tunasema dada fulani ni mzuri, mf watangazaji, wanamichezo nk ambao hata huna mpango wa kukutana naye?
Au kipi unaona cha ajabu hapo!
Mbona jamaa anaenda sana ulayakweli Mara chache nilizomfatilia ni zero kabisaa na English pia ni shida sana cjui alisomaje IFM anaongea English ya hovyooo
dah asante sana kaka ! najua kutaman ni dhambi lakini hatuna jinsi ! mie nampenda alivyo tu yaan ile sauti mie huwa nazizima ana body amazing uwi akikumbatia ah !yaan ni strong fulan !mwee !sijui nisemeje !nampenda lakin sio anavyofikiria yeye lol!
Sure mi naelewa hizi mambo, kuna kipindi niliwahi kuwa na mawazo ya hivi kwa Karrueche Tran, shida sana.
Yule mtoto nilikuwa namfatilia mpaka nikajishtukia aisee, na nikawa natafuta dem ambaye angalau anafanana naye.
Day! Ila umemdhalilisha, yaani Hata rede asichambue?View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene
Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Kwanza tuulizane, hiki wanachokifanya Dauda, Leakey et al ni taaluma au fani? Kama ni taaluma, inatolewa na vyuo gani hapa kwetu? CV zao zipo wapi? Ziwekwe hadharani immediately, halafu tuendelee na mjadala, ili tuepuke ukanjanja humu ndani!Mchambuzi ni Mwalimu kashasha na Dr Leakey hawa wengne wapiga kelele tu.
Yaani ananiudhi mpaka siangalii cloudsVip Hassan Ngoma nae anasubir uteuz au