Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

Mkuu naona umemkomalia dada wa watu, hivi mara ngapi tunasema dada fulani ni mzuri, mf watangazaji, wanamichezo nk ambao hata huna mpango wa kukutana naye?

Au kipi unaona cha ajabu hapo!

dah asante sana kaka ! najua kutaman ni dhambi lakini hatuna jinsi ! mie nampenda alivyo tu yaan ile sauti mie huwa nazizima ana body amazing uwi akikumbatia ah !yaan ni strong fulan !mwee !sijui nisemeje !nampenda lakin sio anavyofikiria yeye lol!
 
Sure mi naelewa hizi mambo, kuna kipindi niliwahi kuwa na mawazo ya hivi kwa Karrueche Tran, shida sana.

Yule mtoto nilikuwa namfatilia mpaka nikajishtukia aisee, na nikawa natafuta dem ambaye angalau anafanana naye.
 
hahaah ujana hatar sana ! ukweli lwambano anasauti nzur sana jaman !yaan ht akimkosea mkewe ile saut ni tiba moja kubwa sana
 
View attachment 612099
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene

Wanaomfahamu zaidi watupe wasifu wake ili kuwasaidia watu wasipotezewe mda naye.
Day! Ila umemdhalilisha, yaani Hata rede asichambue?
 
Mchambuzi ni Mwalimu kashasha na Dr Leakey hawa wengne wapiga kelele tu.
Kwanza tuulizane, hiki wanachokifanya Dauda, Leakey et al ni taaluma au fani? Kama ni taaluma, inatolewa na vyuo gani hapa kwetu? CV zao zipo wapi? Ziwekwe hadharani immediately, halafu tuendelee na mjadala, ili tuepuke ukanjanja humu ndani!
 
Back
Top Bottom