Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

The Point has been spoken.
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Kilichokuuma ni hiyo picha..na hivi vitu vinatokeaga kwny mpira..relax bro!! Punguza munkari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaaaa hata kuchambua rede....teh..teh...
Binafs namkubali Eddo
 
najua !lakini asili yangu nilipozaliwa nimejikuta natumia hizo 'ga' usinilaum!
Hahah MBITIYAZA I won't blame you as long as you don't blame Shaffih for making similar language mistakes as yours...

Hata yeye ataji-defend kwamba kwake lugha gongana...
 
'ananiboaga' nayo ni lugha kengeufu kama 'still bado'
....still bado...is "bado x 2" sidhani kama "ananiboaga" kuna neno limejirudia hapo though root word ni kiingereza...ni kama nikuambie "umefeli" kumtetea huyo bwana wa "still bado" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
....still bado...is "bado x 2" sidhani kama "ananiboaga" kuna neno limejirudia hapo though root word ni kiingereza...ni kama nikuambie "umefeli" kumtetea huyo bwana wa "still bado" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

yeah nimekuelewa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…