think center
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 485
- 527
Mchambuzi ni Jeff Lea tu kwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti..!??Ilitakiwa amulinganishe okwi na Ajib
The Point has been spoken.Theory moja ambayo huwa nashindwa kuielewa ni vile ambapo tunaweza kuendelea kumsikiliza mtu tunayelalamika kwamba anatuboa, una-tune in Sports Extra ya Clouds FM saa tatu unajua kabisa Shaffii atakuwepo, na atakuboa, kweli anakuboa kesho unarudia tena kusikiliza, hivyo hivyo kila siku.
Bahati nzuri sasa kuna watu wengine wengi ambao wanafanya kama jamaa na unasema kwamba hao ndo bora zaidi yake, lakini hujipi muda wa kuwasikiliza kama unavyosikiliza anayekuboa.
Nakumbuka First Take ya ESPN, nilikuwa simpendi Skip Bayless, lakini kila mara siku namsikiliza na naendelea kulalamika, thanks God alihama ESPN kwa hiyo saa hizi hata simsikilizi kabisa, labda mara moja moja nikijihisi kummiss.
Hapo huwa sielewi kabisa theory yake, kwa nini tusiache kumsikiliza?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]Ananiboaga. [emoji735]
Ananiboa. [emoji736]
Anasemaga [emoji735]
Anasema. [emoji736]
Shule ulienda kusomea ujinga ???
Kmbe mnapenda muonekano nkajua kaziHeee nadhan ni jina hilo hilo !jaman yule ndo image ya mwanaume wa kiafrica !teh teh shetan nipae!
Sawa mkuuIlitakiwa amulinganishe okwi na Ajib
😀😀😀😀...daah eti still bado...jamani mmmh!ananiboaga anasemaga 'still bado'
😀😀😀😀...daah eti still bado...jamani mmmh!
....still bado...is "bado x 2" sidhani kama "ananiboaga" kuna neno limejirudia hapo though root word ni kiingereza...ni kama nikuambie "umefeli" kumtetea huyo bwana wa "still bado" 😀😀😀😀'ananiboaga' nayo ni lugha kengeufu kama 'still bado'
....still bado...is "bado x 2" sidhani kama "ananiboaga" kuna neno limejirudia hapo though root word ni kiingereza...ni kama nikuambie "umefeli" kumtetea huyo bwana wa "still bado" 😀😀😀😀
😀😀😀...still bado siamini kama "Barabara ya Morogoro Road inapanuliwa"still bado huamini !teh teh
😀😀😀...still bado siamini kama "Barabara ya Morogoro Road inapanuliwa"
..linda hizo ribs maana utazihitaji sana humu JF 😀😀😀😀hahahahahaha my ribs !
..linda hizo ribs maana utazihitaji sana humu JF 😀😀😀😀